MAHITAJI
1)1½ cups dengu za njano
2)½ kikombe cha kitunguu cha kijani vilivyo katwakwata vidogo
3)1/4 kijiko cha chai baking powder
4)1 kijiko cha chai cha masala
5)2 maziwa(vijiko vya chakula)
6)1½ chumvi(kijiko cha chai)
7)50g unga wa ngano
8)Mafuta ya kukaangia
UTAYALISHAJI
1)Osha na kuloweka ndengu usiku mpaka asubuhi
2)Saga kwenye food proser(au kwa njia yoyote ilimladi ipondeke)na mimina kwenye bakuli kubwa
3)Ongezea vitunguu,baking powder,masala,maziwa na chumvi.
4)Kologa vizuli kisha chukua na unga halafu changaya pamoja
5)Fanya vidonge kama inch1 kisha bana katikati ya mkono.Dunga na kidole katikati ya bagia
6)Kaanga bagia kwenye mafuta hadi ziive
7)Pakuwa bagia kwenye sahani
8)Tayali kuliwa
9)Kalibu tule....mhhh!! tamu hadi najing'ata ulimi!!