1)Viazi(mbatata) 2lb 2)Thomu na tangawizi 1 kijiko cha chakula 3)Chumvi 1 kijiko cha chakula 4)Ndimu/limao 1 5)Mafuta ya kupikia 6)Unga wa dengu au ngano 7)Pilipili ya kusaga(inategeme unavyoipenda)
UTAYALISHAJI 1)Shemsha viazi mpaka viive 2)Ponda ponda mpaka viwe laini 3)Saga thomu na tangawizi kisha changanya na viazi 4)Weka cumvi.ndimu na pilipili ya unga(unaweza kuonja na kuongeza kadli jinzi unavyopenda wewe) 5)Tengeneza mabonge ya duara na upange kwenye tray 6)Vuluga unga wa ndungu au ngano kwa maji ili uwe mwepesi kidogo 7)Weka kalai la mafuta kwenye moto 8)Chovya vidonge kwenye unga na uyatose kwenye kalai la mafuta ya moto 9)Acha kacholi zibadilike langi ya njano na utoe kwenye moto. 10)Epua weka kwenye sahani na tayali kwa kuliwa 11)Kalibuuniii
The administrator has disabled public write access.
#2020
tatu(User)
Junior Boarder
Posts: 148
Re:KACHORI 2007/06/20 11:06
mie kwa kachori utaniuwa napenda sana tamu sana
The administrator has disabled public write access.