Yai 1 Unga wa ngano 1kg Sukari ½ Siagi 500g Kakao powder vijiko 3 vya chakula Baking powder ½ kijiko cha chai
UTAYALISHAJI 1)Chukua bakuli tupu(kubwa kiasi) 2)Pasua yai na usiweke kiini cha kati. 3)Weka sukali pamoja na siagi(changaya na mixer kwa urahisi) 4)Chukua unga uchekeche na changanya na baking powder 5)Weka unga kwenye mchanganyiko wa siagi,sukali na yai. 4)hakikisha mchanganyiko umekuwa wa brown na mchanganyiko ni mzito kiasi 5)Chukua plate ya pembe nne(au ya aina yeyote)mwaga nchanganyiko ule na weka kwenye oven kwa muda wa dakika 45. 6)Ikisha kuwa tayali toa kwenye oven iache ipowe ipo tayali kutumia
MATUMIZI YAKE Inaweza kuliwa kama breakfast na maziwa au kahawa.Na pia unaweka kutumia kama dessert na kinywaji chochote.
BY JACKY
Post edited by: jacky, at: 2006/11/26 15:01
The administrator has disabled public write access.
#1225
tatu(User)
Junior Boarder
Posts: 148
Re:CHOKOLATE CAKE 2006/11/29 09:26
mie napenda rangi yake tu huwa yanivutia
The administrator has disabled public write access.
#1231
jacky(Visitor)
Fresh Boarder
Posts: 19
Re:CHOKOLATE CAKE 2006/11/29 22:34
Basi ukinywea kahawa mambo mwake mwake babake....
The administrator has disabled public write access.
#1239
Rweyzuna(User)
Junior Boarder
Posts: 185
Re:CHOKOLATE CAKE 2006/12/02 10:27
Unafanya kazi Golden Tulip nini! Natamani unifundishe kutengeneza keki.
The administrator has disabled public write access.