Re:MTANZANIA ... UKIJIULIZA HILI SWALI -> 2007/11/05 22:08
Natty_Bongoman wrote: * Ukiwa nchini ama nje ya nchi.
UZALENDO unamaanisha nini kwa mTanzania? (kwa vizazi vya jana, na kwa vizazi vya leo) Uzalendo ni mapenzi ya nchi na utetezi wa nchi. Mimi kama Mtanzania mapenzi ya nchi yangu, ni kama ifuatavyo: 1.Amani- Tunajidai kwa amani tuliyokuwa nayo hamna nchi katika bara la Africa enye amani kama Tanzania. Amani hii imewezesha viongozi wengi wa Africa kutujumuisha katika sakata zao za Uhuru kwani tumeonyesha Dunia kwamba tunaweza tukaishi kwa Amani na Udiplomasia(Hapa Imani Tetezi)mkubwa tunao-onyesha katika Siasa na Utamaduni. Hali hii imetuwezesha kutetea nchi nyingi za jirani katika harakati zao kupata uhuru na hata kumuondoa Iddi Amini. Hii Imani Tetezi tuliyokuwa nayo ni sababu moja yapo ya kuwa na Amani. Naipenda nchi yangu hivi ilivyo! MUNGU IBARIKI TANZANIA! 2.Utetezi-Natetea Nchi yangu Hii kwa iliyo fanya,hasa katika kusaidia ukombozi wa majirani wetu wa karibu na wa mbali. Natetea Utamaduni tunaojivunia, vilevile ningependa kutetea kwamba ufisadi haupo lakini mpaka pale wimbi hili la ufisadi bado linalenga angani basi nitatetea Amani tuliyonayo! Bendera yetu inaeleza mengi kuhusu Watanzania Hivyo basi kutetea bendera yangu ni kutetea nchi yangu na maslahi yake! Verissimal Fidelis!!
The administrator has disabled public write access.
#2450
Natty_Bongoman(User)
Senior Boarder
Posts: 369
Re:MTANZANIA ... UKIJIULIZA HILI SWALI -> 2007/11/11 00:51
Nakusikia Atanaye, pia nakubaliana nawe.
* Amani yetu kweli ni baraka ... ila mara nyingi nawaza ka hii amani pia inatufanya tuwe waoga kupambana na rushwa. Mawazo yako?
The administrator has disabled public write access.