I have written a long reply at least twice and when I hit the submit button it says that I have not logged in when I actually have. So just forget it. Thank you for your response to my posts. By the way, I will be traveling to East Africa in the next year or two.
The administrator has disabled public write access.
asalaam alaykum watanzania wenzangu. Mimi nilikuwa naomba ufafanuzi hivi mtanzania haswa ni mtu gani? maana naona kunakuwa na ubaguzi kwa watanzania wenzetu amabao wanaasili tofauti, kwa mfano kwa huyu miss tanzania 2007.
The administrator has disabled public write access.
bibi uhuru wrote: Jibu: Hapana naam. Elfu elfu wahindi waonea waafrika. Swali ingine: Kwa tamasha ya Miss World au Miss Universe atawakilisha ambalo nchi? Tanzania au Uhindi? Sa si ka kuulizia dada Mmarekani mweusi akiwakilisha USA anawakilisha Marekani ama Afrika... ??? ...Si Ndugu zetu weusi huko Marekani bado wanaonewa pia?
Post edited by: Natty_Bongoman, at: 2007/10/14 01:06
The administrator has disabled public write access.