jamani bongo without technology tutufika kweli...yaani mara ya mwisho watu kuingia humu ni mwaka jana ...mbona kuna mambo mengi tu ya kuongea ...pliz poeple muwe mnakuja
The administrator has disabled public write access.
#2803
Hacker(User)
Fresh Boarder
Posts: 3
Re:Mbona Hampi wabongo 2008/06/15 19:26
SURE m2wangu, yani wabongo kwenye Technology hawapo kabisa. Yani sijui what is da Problem.
Utakuta m2 kila Siku anaenda kununua Magazeti ya Mipasho kisa wanataka kujua nani amemfumania nani na Kua, kuna Habari gani za Umbea.
Yani kuliko m-Tanzania aende kununua Magazeti ya TECHNOLOGY ni bora Aende akasome magazeti yenye STORY za Ngono.
Hey, TANZANIANS please lets start a New Revolution of Being Up 2date Every Day. We wl reach n the time that every 1 of us wl b know how thngz go n thz world.
Tanzania don b Lazy...
Please lets b up2date. If any 1 of us want 2 know any thngz plz put u'a Request n dis Forum... We wl answer U. Ok?
" I Love Technolgy, i love my Country"
LETS START A NEW REVOLUTION
from: ebs-tz@msn.com
The administrator has disabled public write access.