SwahiliEnglish
            Lost Password?    Bofya hapa kujiunga
Bongo5 Forum
Welcome, Guest
Please Login or Register.
Lost Password?
JE UNAKUMBUKA NINI MIAKA ILEE! (1 viewing)
_GEN_GOTOBOTTOM Post Reply

TOPIC: JE UNAKUMBUKA NINI MIAKA ILEE!

#2809
Yassern (User)
Fresh Boarder
Posts: 10
graphgraph
Click here to see the profile of this user
JE UNAKUMBUKA NINI MIAKA ILEE! 2008/06/20 06:12  
je una lolote ambalo Unaweza kukumbuka maisha ya miaka ilee ya shule za msingi. sababu ni kutaka tu kukumbushana Maisha ya shule ya msingi.vituko Vyote ,na jinsi tulivyo jifunza,ila tucheke na kufurahi pamoja.Mwaga hapa .mfano
-jinsi ulivyokuwa unaruka dirisha kwa kumkimbia mwalimu wa kiinglishi,
-jinsi ulivyokuwa hupendi kuoga,
-jinsi ulivyokuwa mwizi wa madaftari ya wenzako,
-jinsi ulivyokuwa fundi wa kuibia mitihani(kupiga chabo),
-jinsi ulivyokuwa fundi wa kutumia nyenzo kwenye mitihani,
-jinsi ulivyokuwa fundi wa kuandika barua kwa mademu,
-jinsi ulivyokuwa mgomvi na wenzako,
-jinsi ulivyokuwa muuzaji mzuri wa visheti,keki,bagia n.k za waalimi,
-jinsi ulivyokuwa mzembe wa kitu fulani,
-jinsi ulivyokuwa mtaalam wa kitu fulani,
-jinsi ulivyokuwa unachukia siku ya usafi
NA MAMBO MEENGI KAMA HAYO.leta nasi tufurahi mambo hayo,ila tutumie lugha safi ili tupende na kucheka pamoja kwani wengi tunaamini maisha ya shule ya msingi yalikuwa sawa na kuwa jeshini maana kila kitu tulikuwa tunataka kiwe kirahisi na mwishowe unajikuta unakula mboko(bakora)lakini hata hukomi,unatafuta njia nyingine. anza sasa ,tupe unachokumbuka...!

Post edited by: Yassern, at: 2008/06/20 04:14
  The administrator has disabled public write access.
_GEN_GOTOTOP Post Reply
© Copyright 2007 Best of Joomla, Powered by FireBoardget the latest posts directly to your desktop
Total Members
total 21206 wanachama
female 5268 female
male 15858 male
month 11 mwezi huu
Mpya: andyquicks
Who's Online Now
We have 23 guests online and 2 members online
player Tagora
Bongo5 Chat Zone 2.0
Total of members in the chatroom:
2006-2007 © Copyright Bongo5.com