SwahiliEnglish
            Lost Password?    Click here to register
Bongo5 Forum
Welcome, Guest
Please Login or Register.
Lost Password?
_GEN_GOTOBOTTOM Post Reply

TOPIC: Re:Wanafunzi na elimu

#2458
HoVa (User)
Junior Boarder
Posts: 180
graphgraph
Click here to see the profile of this user
Re:Wanafunzi na elimu 2007/11/11 03:05  
Natty amesema Someni, Na ukihitimu elimu ya MLIMANI, kupata misaada ya stashahada za Juu, Juu zaidi na Kupata msaada wa kuhitimu Masters/PhD ni rahisi zaidi ya kupata undergraduate help-funds.

H.
  The administrator has disabled public write access.
#2459
HoVa (User)
Junior Boarder
Posts: 180
graphgraph
Click here to see the profile of this user
Re:Wanafunzi na elimu 2007/11/11 03:15  
yassin wrote:
kwangu mimi naona kwamba bora ukasome nje maana kuna elimu nzuri zaidi kuliko hata tanzania na tanzania unakaa unapoteza mda kwa hiyo bora ukasome nje tu ufanikiwe pia na maisha na nchi nzuri ya kwenda kusoma sio ukraine mbona kuna nchi nyingi sana za kwenda kusoma na unafanya kazi.

Elimu nje ya nchi sio rahisi kama unavyofikiri,...kwanza Inahitaji funds...talking about funds watu walionje wanajua what i'm talking about...Working + Going to school sio kitu rahisi...Uki-fanya B.S nyumbani kuna chance kubwa ya kumaliza ontime compared kama ukifanya abroad...

Nchi ziko nyingi za kwenda kusoma na nchi nyingi sasa wanaprovide elimu yenye viwango vya juu, kumbuka kuwa kuna nchi nyingine ukitaka kusoma kwao inabidi u-jifunze lugha yao kwa muda wa mwaka au zaidi (inategemea na uwezo wako wa kuelewa mambo) hapo tayari unakuwa na delay....kwa mfano, Urusi, Ukraine, Findland, Holland etc...elimu za stashahada za juu zinahitaji ujifunze na uwe fluent kwenye lugha zao....

Kusoma Na Kutosoma bongo kuna madhara yake, Bongo elimu ni hafifu na mbinu za kufunzia kielimu ni za kizamani, not only that migomo, na ya level za maisha nayo inachangia, the sad thing is ukimaliza bongo possibilities za kufanya kazi abroad na kuwa respected ni minimum...Na ukifanikiwa kumaliza abroad, tuliomaliza tunajua how it feels....na respect kibao unapata!....

Kusoma abroad Kunahitaji enough funds na dedication....kama hujui nini unafanya..i promise "fail" to you. Not to discourage those who wants to study abroad but that is the real truth...you'll waste your time trying to accomplish nothing.

nway nimeshachoka, hizo ni 0.2cents zangu.

Pamoja,
H.
  The administrator has disabled public write access.
#2460
HoVa (User)
Junior Boarder
Posts: 180
graphgraph
Click here to see the profile of this user
Re:Wanafunzi na elimu 2007/11/11 03:16  
Belo wrote:
we nje unaenda kusoma nini? umeona jamaa wa UKRAINE wanavyopata shida komaa hapa hapa BONGO mbona vyuo viko vingi

Real life example hapo,
R.
  The administrator has disabled public write access.
#2493
Megdrew (User)
Fresh Boarder
Posts: 4
graphgraph
Click here to see the profile of this user
Re:Wanafunzi na elimu 2007/12/03 19:51  
usiwe discouraged kwamba nje unaenda kusoma nini?Nje kusoma sawa ila kama huna sponsor ama u can't afford sishuri kwa undergraduate kama walivyosema wenzangu utataabika balaa na kama huwezi struggle utashia uacha shule.We tulia home fanya undergradu faulu vizuri Masters utaenda popote.
  The administrator has disabled public write access.
#2494
Megdrew (User)
Fresh Boarder
Posts: 4
graphgraph
Click here to see the profile of this user
Re:Wanafunzi na elimu 2007/12/03 19:53  
usiwe discouraged kwamba nje unaenda kusoma nini?Nje kusoma sawa ila kama huna sponsor ama u can't afford sishuri kwa undergraduate kama walivyosema wenzangu utataabika balaa na kama huwezi struggle utashia uacha shule.We tulia home fanya undergradu faulu vizuri Masters utaenda popote.
  The administrator has disabled public write access.
_GEN_GOTOTOP Post Reply
© Copyright 2007 Best of Joomla, Powered by FireBoardget the latest posts directly to your desktop
Total Members
total 21205 registered
female 5268 female
male 15857 male
month 10 new this month
New: glamour
Who's Online Now
We have 31 guests online and 8 members online
baiby yeah jahman Carmelo ThAnX fids.inc samirabeauty makaveli jr ERICK JOHN9
Bongo5 Chat Zone 2.0
Total of members in the chatroom:
2006-2007 © Copyright Bongo5.com