Natty_Bongoman (User)
Senior Boarder
Posts: 369
|
| Re:watu wenye majina machafu tuwafanyeje?? 2008/03/01 06:13 |
|
binti ceaser wrote:Najua kabisa hili, na mtu anaingia na jina hili anatukana akitoka anakuja na jina jingine anajifanya mtakatifu.
mapanga tunayo na kazi yanafanya, la kufanya sasa ni mtu akitukana sana tunamfunga ip adress hatakaa aingie tena na computer hiyo mpaka atakapobadilisha pc hii ndo dawa ya watu wasiojiheshimu, hakuna cha mtoto hapa kwani watoto hawajui kuchat, kama mtu anajua sehemu ya kuandika jina lake, pasword na kuingia maskani hakuna cha utoto pale ni mtu mzima akili ndogo tu.
ila dawa yao ni kufunga ip ndo dawa iliyobakia.
tukaneni sasa muone. kama huna la kuchat kafanye shughuli ingine, mbona kwenye net kuna vitu vingi tu.
muda mwema na Mungu atubariki.Wee ni mkali, Binti, Huh?
Eniwei, wakirudi kitakatifu na majina bora, si wametubu na kubadilika, ama?
|
|