khabari yenu wana b5... dah.. naona siku ya leo.... kwangu mimi ipo bored sana... basi katika ule umbea wangu .. pitapita .. nikapita nyumba moja... mlango umefungwa dirisha liwazi.. ikabidi nihungulie

... lol.. nliyaona hapo acha... mwandishi alikuwa akijiita gamba la nyoka!! TOBA!!! mhh alianza hivi... UNAKUMBUKA??????

Stori za Juma Rose and Baraka?
Hizi stori zilikuwa zinanikosha ile mbaya, mwanzoni ngeli ilikuwa haipandi kabisaa, ila nilikuwa nikiona picha za Juma,Rose na baraka stori ilikuwa inapanda kwelikweli.ila stori ya mwisho ktk series za stori Za juma and baraka ilikuwa chapter ya mwisho wakati huo tuko darasa la saba, Juma anaaga anasema byebye, it was too emotional, from that moment i was not a kid again!

ehehehe... mi nimekumbuka ngamiani primary school.. na mashujaa primary school ... mwalimu NUNGU na mwalim MACHA.. JE WE wakumbuka??
ni hayo leo siwezi ongea sana .. jino laniuma...