Tukikiuza hiki kitengo kwa wageni si ndo itakuwa balaa....manake madereva wengi hawana shule....wakija wageni na kizungu chao si ndo ajari zitaongezeka,manake wao wakija watakuja na zile sheria na alama za kimataifa,ambazo kwa wabongo ni kichina....tukisema waajili wabongo wenzetu ili kutusaidia ...tutakuwa tunarudi kule kuleeeee!...kwa kweli huwa nawaza sana hilo!