kimbory wrote: kah! Lilsug kweli unawajua wabongo na yote uliyo sema ni kweli tupu tena umenigusa hata mm nina kopo la shampoo pale ndani hahahahah alafu usiku huwa nabeep hahah
hehehehe WIFI TUMEGUSWA WENGI TENA BORA WEWE KOPO LA SHAMPOO MWENZIO CHUPA ZA RANGI NYINGINE ZIMEISHA NYINGINE ZIMEGANDA LAKINI NINAZO SIJUI ZA NINI DUH LEO NAENDA KUTUPA MWEH! NA VITU KAMA MASCARA HEBU ONA MIE NAONA NDIO MAPAMBO SIJUI LOH!
The administrator has disabled public write access.
#2261
Rastafarian(User)
Fresh Boarder
Posts: 4
kwani kuwa mbongo ni kitu cha ajabu 2007/09/02 22:15
Mimi nikiwa Mtz nashangaa sana kwani sumu ya mtu anaye kopa ni kumnyima mkopo na ajibu asante kwa msaada wako kwasababu mkopaji siku zote sio mlipaji au vipi ?
The administrator has disabled public write access.