debra
 |
Created On: 19/11/2008 11:07:07
Heheheee wamefukuzwa mfuasi baada ya kula kahawa ya mchanaga fulani ivii!!
Ebaaa eeeh gud tu sii yuu mfuasi!
|
8figure
 |
Created On: 19/11/2008 08:03:31
Tobaaaaaaaaaaaaa pole sana ila ndio hali ya dunia mtu wangu usikonde wala nini mbn tupo wengi wangu?? au yy alikuwa nacho cha dhahabu?? Pa1
|
8figure
 |
Created On: 10/11/2008 07:35:19
Maishayanakuchapa bakora fanya hima nayo uyachape yashike adabu wangu au sio?? Vp lkn? Mazuka? Nyc Tym!
|
GAUCHO
 |
Created On: 07/11/2008 14:28:06
mfuasi vp?naona umenitupa siku hizi ka arsenal walivyomtupa Thierry Henry, haya nilipita kukuletea habari njema kuwa kesho kwa saa 9,kwa saa za kwetu pale nakaleshi na kimanzichana washika bunduki vs mashetani wekundu ndani ya emirates,mimi utanikuta kiti cha mbele nitakuwepo kuanzia majira ya 3 asubuhi hata chai nitasahau kunywa na lunch ntapiga ndefu, poa siku na wikiendi njema iwe kwako ila usinitupe wangu.
|
8figure
 |
Created On: 30/10/2008 10:30:31
we mbn umepitea sana??
|
Faza
 |
Created On: 16/10/2008 19:41:35
mambo vipi mzee. habari ya huko.hope uko bomba nisingetenda haki kupita bila kutoa salaam.
|
| revangelwl |
Created On: 09/09/2008 23:43:53
nasikia umekula kiti moto ww na mwezi mtukufu huu lol bi mkubwa kapata habari kazi unayo wangu
|
| revangelwl |
Created On: 06/09/2008 22:38:16
nakustukia wewe
|
PETRO
 |
Created On: 31/08/2008 14:29:52
ebwana sio siri mie niko poa sana sema majukumu ya maisha yana bana
|
Mwajei
 |
Created On: 26/08/2008 13:52:20
Dogo upo?...napita mie
xoxo
sitaloveee
|
PETRO
 |
Created On: 25/08/2008 15:48:36
kijana mambo vip?
|
Mwajei
 |
Created On: 24/08/2008 15:34:04 Edited By Mwajei On: 24/08/2008 15:36:15
hahahaa...haiwezekani..hadi chapati..vipi unakuna hadi nazi nini...hahaha...its kul tho lik em mama's bois...u gud..mbona upo silent mode..aint sein u around lately....
xoxo
sistalovv
|
8figure
 |
Created On: 14/08/2008 10:45:08
He! kwani mfungo umeantha mimi nilikuwa thijui,, ngoja bathi nikavae buibui au sio?? Ili usije fungulia bure?? .. Tk cr .. .. Tchaooo
|
Mysterious_gal
 |
Created On: 12/08/2008 17:50:53
hehehe tunaendsa kichina china au vp lol nakusabahi tu 
|
Mwajei
 |
Created On: 10/08/2008 09:42:18
oyo dogo..wats up..im here tena since last week..nimejaa B5 kwa sana...au olimpik inakukip biz..hehehe...ll chek ya out often..stay ril..misya alotsa too kido....
sistalovee
xoxo
|