sifa
 |
Created On: 01/12/2008 11:17:52
ZUIA UKIMWI TIMIZA AHADI YAKO
|
MaryAnn
 |
Created On: 19/11/2008 09:59:07
weees siyo kabisaaaa...umeniweka hivyo?mtu mwenyewe hujitokezi..nimeamua zangu kujikatia mtaa... 
|
MaryAnn
 |
Created On: 15/11/2008 13:57:06
mweeeh...kuduchu itakutoshaaa? ahahaha wkend wapi? nitumie sms kwenye namba hii 11122233 nikukute wapi..mwaah!
|
shanii
 |
Created On: 15/11/2008 00:13:23
vipi swaiba umekuwa kimya sana vibaya hivyo
|
MaryAnn
 |
Created On: 14/11/2008 08:30:57
mambo ya thupu ya pweza rafiki...na wewe ungependa nikupatiee...hahaha just kidding...siku njema mzeeya
|
GAUCHO
 |
Created On: 07/11/2008 14:39:40
mkuu kwema?napita
|
MaryAnn
 |
Created On: 07/11/2008 08:39:52
dear wangu upo wapi? umeadimika kinyama?wapi weyee..nashukuru kwa kunikumbuka
|
8figure
 |
Created On: 07/11/2008 08:00:23
Mwana lile sio pozi joto chalaa si unajua Dar tena full joto hata mvua inyeshe vp mamabo ni yale yale, Tchaooo
|
iya
 |
Created On: 05/11/2008 19:53:56
Thanks
|
| penina emmy |
Created On: 30/10/2008 17:13:27
dah jameni mko wapi?mbona umeadimika kama gunia rachawa? jipitishe kwangu angarau usalimiane.
|
GUCCI
 |
Created On: 29/10/2008 12:38:10
hiiiiiii how r you
?
|
8figure
 |
Created On: 29/10/2008 12:34:56
Siamini kama leo nimekufuma duh!! kama naota vile!
|
8figure
 |
Created On: 28/10/2008 08:49:37
Vp mbn umeadimika? Au tunapishana pishana!!
|
shanii
 |
Created On: 24/10/2008 18:27:26
Ok,Dar waishi wapi maana Dar kubwa, swaiba mie niko Norway lkn nikirudi nitajitahidi nikutembelee!!!! ama nomaaa
|
shanii
 |
Created On: 23/10/2008 00:45:00
Poa tu swaiba wangu.Moshi hakuna la zaidi tunakimbizana na life tu
Tanga je mwazirusha roho kwa sana(maraha)ama?
|