SwahiliEnglish
            Lost Password?    Click here to register
Latest Shout-Out!
vicky101:

www.eastafricanspace.com



Music Corner




Advertisement
Sudoku
Ngweno's Profile
Personal URL: http://www.bongo5.com/Ngweno
Hits 2671
Online Status OFFLINE
Member Since 15/10/2007 17:47:32
Last Online 04/12/2008 18:20:07
Last Updated 02/08/2008 16:48:33
Ngweno
City: Dar es salaam
Hometown: Tanga
Country - Nchi: Tanzania
Gender - Jinsia: Male
Age - Umri: 30 to 35
Relationship Status: Married
Drinker - Mnywaji?: No
Smoker - Mvutaji?: No
About Me :: Kuhusu Mimi: Ni mpole
I'd Like to Meet - Ningependa kukutana na: Na marafiki
Interests - Napenda: Napenda maendeleo ya nchi na yangu mwenyewe.
My Photos & Videos

Only Registered Members Allowed to view the Photos in this Gallery!
Not a member yet? Click here to register now, its easy & free!




My Photo Albums

My Videos
Profile Visitors
The last 10 profile visitors
 
PhotoNameTime
   sifa  Date: 01-12-08 Time:11:17 
   MaryAnn  Date: 19-11-08 Time:09:55 
   depayo  Date: 18-11-08 Time:23:53 
   CLOVE  Date: 15-11-08 Time:13:17 
   puchiyz  Date: 15-11-08 Time:13:05 
   shanii  Date: 15-11-08 Time:00:10 
   Kakayetu  Date: 10-11-08 Time:14:35 
   dreamer1  Date: 08-11-08 Time:11:47 
   GAUCHO  Date: 07-11-08 Time:14:37 
   8figure  Date: 07-11-08 Time:07:58 
 
My Guestbook

Name Entry
sifa
Created On: 01/12/2008 11:17:52

ZUIA UKIMWI TIMIZA AHADI YAKO

MaryAnn
Created On: 19/11/2008 09:59:07

weees siyo kabisaaaa...umeniweka hivyo?mtu mwenyewe hujitokezi..nimeamua zangu kujikatia mtaa...

MaryAnn
Created On: 15/11/2008 13:57:06

mweeeh...kuduchu itakutoshaaa? ahahaha wkend wapi? nitumie sms kwenye namba hii 11122233 nikukute wapi..mwaah!

shanii
Created On: 15/11/2008 00:13:23

vipi swaiba umekuwa kimya sana vibaya hivyo

MaryAnn
Created On: 14/11/2008 08:30:57

mambo ya thupu ya pweza rafiki...na wewe ungependa nikupatiee...hahaha just kidding...siku njema mzeeya


GAUCHO
Created On: 07/11/2008 14:39:40

mkuu kwema?napita

MaryAnn
Created On: 07/11/2008 08:39:52

dear wangu upo wapi? umeadimika kinyama?wapi weyee..nashukuru kwa kunikumbuka

8figure
Created On: 07/11/2008 08:00:23

Mwana lile sio pozi joto chalaa si unajua Dar tena full joto hata mvua inyeshe vp mamabo ni yale yale, Tchaooo

iya
Created On: 05/11/2008 19:53:56

Thanks

penina emmy Created On: 30/10/2008 17:13:27

dah jameni mko wapi?mbona umeadimika kama gunia rachawa? jipitishe kwangu angarau usalimiane.

GUCCI
Created On: 29/10/2008 12:38:10

hiiiiiii how r you
?

8figure
Created On: 29/10/2008 12:34:56

Siamini kama leo nimekufuma duh!! kama naota vile!

8figure
Created On: 28/10/2008 08:49:37

Vp mbn umeadimika? Au tunapishana pishana!!

shanii
Created On: 24/10/2008 18:27:26

Ok,Dar waishi wapi maana Dar kubwa, swaiba mie niko Norway lkn nikirudi nitajitahidi nikutembelee!!!! ama nomaaa

shanii
Created On: 23/10/2008 00:45:00

Poa tu swaiba wangu.Moshi hakuna la zaidi tunakimbizana na life tu
Tanga je mwazirusha roho kwa sana(maraha)ama?

<< Start < Prev [1] 2 3 4 5 6 7 8 Next > End >>

My friends
OFFLINE shanii
OFFLINE GAUCHO
OFFLINE sifa
OFFLINE 8figure
OFFLINE Mwajei
OFFLINE LuckyLuca
OFFLINE hothot
 
Sasa zamu ya Mramba, Yona
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, jana ilipanda joto baada ya mawaziri wa zamani wawili Bw. Basil Mramba na Bw. Daniel Yona, kufikishwa hapo, wakituhumiwa kutumia vibaya madaraka yao wakiwa mawaziri
Read more...
Odemba aja kishujaa
MSHINDI wa pili wa mashindano ya Miss Earth, Miriam Odemba jana alipokelewa kwa vishindo aliporejea kutoka nchini Philipines alipokwenda kushiriki mashindano hayo
Read more...
Fat Joe na Eve - Funga Mwaka 2008
Mwanamuziki wa hip hop Fat Joe na mwanadada mwingine machachari sana katika anga za kufoka foka aitwaye Eve na mwingine wa tatu (jina kapuni) watatua jijini Dar Desemba 8 kwa ajili ya kuangusha bonge la shoo
Read more...
TID Apewa Siku 10
Msanii wa muziki wa kizazi kipya anayetumikia kifungo cha mwaka mmoja jela, TID ametakiwa kutoa taarifa ya kusudio la kukata rufaa katika Mahakama Kuu. TID anatakiwa kutoa taarifa za kusudio lake hilo ndani ya siku 10 kuanzia jana
Read more...
Mramba, Yona Bado Wapo Rumande

SIKU ya kwanza walipewa masharti magumu ya dhamana; baadaye wakakata rufaa na kushinda, lakini hawakutoka gerezani na Ijumaa kulikuwa na kasoro kwenye hati zao za mali.Jana Hakimu aligoma kushughulikia dhamana kwa kutokuwepo kibali cha Mahakama.


Tanzania Waweka Alama Silaha

TANZANIA imeanza kuweka alama katika silaha zote sambamba na nchi nyingine za Ukanda wa Maziwa Makuu na Pembe ya Afrika.


Albino Aibwa Na kukatwa Mapanga

JITIHADA za Jeshi la Polisi kudhibiti mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi, albino, zinahitaji kuongezeka kutokana na kutokoma kwa vitendo hivyo baada ya mwanafunzi mwenye ulemavu huo, Mateso Dunia, 13, kuuawa kikatili na watu wasiojulikana.


Michuano ya U 17 Yasogezwa Mbele

MICHUANO ya Afrika Mashariki na Kati kwa vijana chini ya miaka 17 yamefutwa baada ya Shirikikisho la soka la Afrika Mashariki na kati 'CECAFA' kuandika barua kwa TFF hayotafanyika kutokana na kukosa fedha za kuendeshea mashindano hayo.


Yanga Yatuma Majina CAF

Mabingwa watetezi wa soka wa Tanzania Bara, juzi walituma orodha ya wachezaji wake itakaowatumia katika mashindano ya Klabu Bingwa Afrika. kati ya wachezaji 28, wanne ni wapya waliosajiliwa katika dirisha dogo la usajili.


Latest Members Photos
Upload Photos to your Personal Album
 

Highslide JS
Cham Li
2008-12-04

Highslide JS
iddy30
2008-12-03

Highslide JS
hans felly
2008-12-03

Highslide JS
goldie
2008-12-03

Upcoming Events
www.eastafricanspace.com
Arusha - 04.12.2008 - 31.12.2008
alert('h')
Arusha - 04.12.2008 - 04.12.2008
Jamhuri 2008 Frankfurt
Frankfurt - 06.12.2008 | 18.00
WATANZANIA WAISHIO HOUSTON
HOUSTON - 07.12.2008 | 16.00
Kenya's Independence Day Party...
Amsterdam - 12.12.2008 | 10.00
Redsan, DJ Pinye and Chagga Li...
Amsterdam - 13.12.2008 | 20.00
Christams Eve Bash
Reading - 24.12.2008 | 22.00
African New Years Bash
Cardiff - 31.12.2008 | 22.00
Register now to add your events!!

Your Comments
Albino Aibwa Na kukatwa Mapanga
 By: mtemi - Total (2 comments)
Fat Joe na Eve - Funga Mwaka 2008
 By: mysalum - Total (2 comments)
Black Rhyno - Vaa Tutoke
 By: miss z - Total (16 comments)
TID Apewa Siku 10
 By: Djpablo - Total (11 comments)
Sasa zamu ya Mramba, Yona
 By: Djpablo - Total (3 comments)
One 2 Five - Besta
 By: hassan mwimbe - Total (19 comments)
Bushoke - Dunia Njia
 By: hassan mwimbe - Total (38 comments)
Watuhumiwa wote kasoro mmoja EPA wa
 By: Kogwe - Total (1 comment)

Latest Forum Entries
48 Laws of power
Mora 03-12-08 13:47
HE IS LOSING HIS MARBLES...
Natty_Bongoman 03-12-08 06:11
HILARIOUS - MLEVI ANA ITCHY 'NUTS'
Natty_Bongoman 03-12-08 06:03
HUYU NI RAFIKI? ... hahahaa
Natty_Bongoman 03-12-08 06:00
PARTY ZA MISITUNI...
Natty_Bongoman 03-12-08 05:54

Total Members
total 21274 registered
female 5285 female
male 15909 male
month 79 new this month
New: poele
Who's Online Now
We have 40 guests online and 8 members online
baiby yeah girlze emmanuel_jahafrica afrgal ruljal player vicky101 poele
Bongo5 Chat Zone 2.0
Total of members in the chatroom:
2006-2007 © Copyright Bongo5.com