NI MSANII MUIGIZAJI MWANAMUZIKI NA MCHEZAJI NGOMA KUTOKA CHUO CHA SANAA BAGAMOYO TANZANIA.
SASA NIPO NORWAY NAFUNDISHA UTAMADUNI WA MTANZANIA KATIKA TAASISI ZA KIELIMU.NA KWA TANZANIA MIMI NI OFISA UTAMADUNI WA WILAYA YA LUDEWA MKOANI IRINGA KULE KWA WANYALUKOLO.
Created On: 06/07/2008 21:53:17 Kaka natafuta mauwa ya saa sita...ila hapo nje kwako sijayaona acha niendelee kutembea....labda mtaa wa nyuma nitayapata...
Moko lavu....
Created On: 22/04/2008 00:54:34 Karibu sana Tampere Natumai umeipenda na spring yake......Feedback from MWIKALO: Duh kaka yaani we acha tu hapa nilipo namuomba sana MUUMBA wetu anijaalie hii riziki ya shule hapo PIRAMK ili nije niifaidi kabisa kwani hapa nimeionja tu kaka lakini kwakweli inanogelea sana TAMPEREMENDE.
Created On: 17/03/2008 23:09:05 Unanibwaga mkuu, Glass tupu wkt Mvinyo nauona hapo? Anyway status yako ya kinywaji inasomeka NO! So its okay! Nimekatiza kukupa HI, Karibu nyumbani
prince J
Created On: 09/03/2008 06:57:56 safi sana wape salaam wanorway huko.waambie wanyalu tunatisha kama ugonjwa wa ebola.karibu ulanzi be..najua unaumiss sana ugimbi.paambele
hope kikoti
Created On: 06/03/2008 21:36:46 mzima lakini habari za norway