Lawalawa
 |
Created On: 01/12/2008 02:38:57
Have good time
|
maroxcity
 |
Created On: 30/09/2008 00:51:25
just to wish you a pleasant and marvellous EID.so EID MUBARAK.
|
mimi_19
 |
Created On: 25/09/2008 14:14:24
pole kwa kuachana nae nisamehe kama ni mie ndio nimekusababishia hop tutakuwa na maisha y2 ya upendo na kujinafasi  Feedback from bahati07: nafikiri inapasa nikupatie doctor..hey!ur runnin out of yoself..'maniac'is a pity...
|
mimi_19
 |
Created On: 18/08/2008 19:31:48 Edited By mimi_19 On: 02/09/2008 11:21:46
:woohoo Feedback from bahati07: hey!comot4road..
|
mimi_19
 |
Created On: 02/08/2008 19:59:25
hi mzima wewe
|
haswa
 |
Created On: 23/07/2008 20:41:09
naona umepita kimyakimya dadaa
|
debra
 |
Created On: 07/07/2008 10:11:17
Nimepita kukamilisha ile wiki ya matembezi kwa wenzetu...Moko lavu..pamoJAH
|
maroxcity
 |
Created On: 05/07/2008 02:54:28
droped here to remember your kindness thanx a lot.nuff raspekt.ALLAH may protect ya,tc,
|
maroxcity
 |
Created On: 03/07/2008 20:11:03
thanx for showing love in my profile,welcome again.
|
tamali
 |
Created On: 18/06/2008 14:00:02
.... mnh bravo!!!ila sio siri refa aliongoza kwa kutoa kadi,loh zingine hata hazina sababu,bravo hny,musilewe sifa!!!!!!!.
|
tamali
 |
Created On: 15/06/2008 14:03:26
bravo..my king!!!!!!!!!!! ilove u
|
pollymagy
 |
Created On: 10/06/2008 10:50:21
bahati mbona hujasain au ulipita tu kwangu kwa bahati, harafu kaka, kuna kakitabu kadogo kenye Taito "MEET YOU IN ISTANBUL" ka kiingereza mwandishi simkumbuki je waweza kukitafuta huko uliko? huku bongo nimekosa kabisa ukikipata nijulishe wangu
|
tamali
 |
Created On: 01/06/2008 11:16:43
hny usiruhusu..moyo wako ..upende mwingine..mpnz wng,,kufanya hivyo ni kutaka kuniangamiza..hebu waone kama vivuli..vyenye miiba..wasije kuangamiza ndoto zetu..watakuita majina mengi mara ohh cjui dear...machoni wanataka kukuibia...tamu ya moyo wangu ..tulia nikupe yasoisha hamu!!!!!!!!
|
tamali
 |
Created On: 01/06/2008 11:06:16
my king nimezunguka dunia hii..nikakutana na wengi,wote hawakuweza kuniteka isipokuwa kiumbe kimoja...cjui niseme mhibu wangu,,,oshiii naogopa...nisikiapo sauti yake huwa hoi taabani..anaye nitoa machozi...Sina budi kusema..wewe ndie dereva wangu ,,,,mwenye Class C
|
tamali
 |
Created On: 31/05/2008 17:07:30
baby ni wewe nikupendae na hakika mi niwako daima...my hb mwingine cjamwona my king ILOVE YA SO MUCH!!!!!
|