FirstLady2B
 |
Created On: 31/08/2008 10:43:11
Hie...........
|
westb
 |
Created On: 22/08/2008 22:06:16
Mambo ya chabo ndio mwake kaka... mzima lakini weye.... thanks for being there...!!
|
lion_wh
 |
Created On: 19/08/2008 19:24:40
Hi 
Just greetings to You from Austria
Walter
|
Lilyswai
 |
Created On: 13/08/2008 14:06:14
Huu ni mwanzo tu nina matarajio ya kuboresha zaidi
|
halfa k
 |
Created On: 11/08/2008 15:07:24
ebwana makini mkuu
|
mapozi
 |
Created On: 09/08/2008 15:55:39
poa
|
Lawalawa
 |
Created On: 08/08/2008 10:48:48
Asante sana bro, viti,
nitawawekea!! Nawe hapo
naona si mchezo!!
|
Nisipitwe
 |
Created On: 07/08/2008 07:01:22
Thanx,
nishakaribia best,yani namaanisha jina + kitendo kaka,wape hi musoma
|
getrude
 |
Created On: 26/06/2008 15:27:53
pole sana kaka yangu kwa delay ila ni mambo ya umeme yaliyoikumba znz yetu... nipo tutazidi wasiliana
|
GAUCHO
 |
Created On: 25/06/2008 12:12:49
ebwana ni poa wangu nashukuru sana kwa kuacha ujumbe mlangoni,inakuwaje hapo Mara ndani ya Musoma lkn?nahope wote mu wazima,poa karibu sana wangu!
|
call_me_triplesoul
 |
Created On: 10/09/2007 22:42:52 Edited By call_me_triplesoul On: 10/09/2007 22:43:57
halooo habari yakoo hujambo?? poa wangu
|
| kabuche |
Created On: 07/09/2007 18:15:52
unachekesha sana.PROF YAKO INASOMEKA KUA UKO MARA MUSOMA. NA HUKO NDIKO KUPATIKANAKO UGALI WA MHOGO NA FURU. NGOJA NIVAE MIWANI NIJE SOMA VIZURI PROF YAKO.
|
PETRO
 |
Created On: 07/09/2007 01:01:01
mie nipo nimejaa tele
|
| kabuche |
Created On: 06/09/2007 18:32:29
siri ya mafanikio yangu ni ugali wa mhogo na furu wa kukaangwa. haya nipe habari za Musoma.
|
MTU PORI
 |
Created On: 05/09/2007 20:44:02
wangu usijali si unajua tena pombe za offer hizi mambo mengine shwari lakini???
|