Dezzy
 |
Created On: 15/07/2009 09:56:22
Passin by 2 say.... ..!! Holla back..!!
|
Dezzy
 |
Created On: 18/06/2009 06:36:48
Hiyo Mapinduzi itoe alafu weka Makojozi..!! ndo itatoka chicha, niamini mimi kachala..!! mi ntakuwa mtu wa kwanza kujiunga na Chama tukawakojolee wajinga wajinga au vp mazee..!! 1.
|
bowbow
 |
Created On: 28/05/2009 06:21:07
Badilisha Picha Picha Gani hiyo ww niaje lakini
|
ghettoprince
 |
Created On: 23/02/2009 17:19:55
dah.. kaka upo kweli? 
|
mtemi
 |
Created On: 22/02/2009 14:50:56
upooo mbona huonekani kwenye chat kijana? nyumba nimependa sana sana lakini bendera inanichafuwa moyo
|
Yassern
 |
Created On: 12/02/2009 11:20:48
yaani nyumba hii inanikumbusha vitu vingi sana,kuanzia mzee mwinamila,tabora boys,uyui,kazima,mihayo,kipalapala,usoke,nzega,sikonge..duh hayaishi..KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI,ZIDUMU FIKRA SAHIHI ZA MWENYEKITI WA CCM!peace,luv,respect,unity..pamoja!
|
amachris
 |
Created On: 02/02/2009 03:40:44
weee achaupuuzi unaweka bendera ya ccm alafu unajiita kojozi adabu gani kaka..........
|
8figure
 |
Created On: 16/11/2008 23:44:47
Duh! hao wa EPA kazi ipo!! Sio kama sijafunga kifungo pale hapana kifungo tunaenda na wakati pale napunga hewa huku kwetu jua kali na joto sana so mavazi ndio kama unavyoniona chalaaa angu!!
|
debra
 |
Created On: 16/11/2008 23:24:07
Tarime imekushinda cjui ss next chaguzi itakuweje???
Langu sikio tuu mie!
Poleee ehhhh
Weye ukwapi weye??
|
8figure
 |
Created On: 30/10/2008 02:55:01
Wewe hiyo kampeni bado?
|
Ngweno
 |
Created On: 06/09/2008 03:53:52
kidumu chama cha mapinduzi
|
mapozi
 |
Created On: 08/08/2008 06:10:59
WEWE UNALETA MAMBO YA CHAMA
|
| halfa k |
Created On: 01/08/2008 06:35:11
habari mkuu
Tabora vipi mkuu
mimi nilisoma Tabora mjini
so naifagilia Tabora mkuu
|
8figure
 |
Created On: 31/07/2008 20:48:08
Mmh umeadimika kama mkojo wa samaki? Vp au ndio kampeni??
|
Yassern
 |
Created On: 12/07/2008 08:10:02
wewe naona ulifungiwa huko kwa wale mapadri wa pale kipalapala,maana husikiki,au umeenda ntutuo,au umeenda ulyankulu? haha!kidumu chama kilichotulea ..hha!peace,luv,respect..unity..pamoja!
|