Ipp
 |
Created On: 01/12/2008 02:07:34
Sana tu mtoto wa Luton, kwanza najua hicho kiwanja kibaya sana!!
Sana tu wangu DEPAYO!!!!
Nikunongoneze kitu???
hahah watasikia maana wana masikio maref hawa!!nenda kwa inbox yako!
|
Mji kasoro bahari
 |
Created On: 27/11/2008 02:54:29
mmh hata salam? haipendezi wala nini!! poa tu
|
Ipp
 |
Created On: 19/11/2008 03:55:45
Depayo kimyaaaaaa
Haya hum ndani kwako kwema?
|
swago
 |
Created On: 17/11/2008 15:22:12
lets keep on chat bby
|
Lauret
 |
Created On: 13/11/2008 21:52:32
sema m2 wangu mambo vipi. nafikiri uko poa mi nipo fresh kama kawa
|
Ngweno
 |
Created On: 29/10/2008 13:13:47
upo mtu wangu muda mreeefu sana sijakutia machoni
|
woozgan
 |
Created On: 27/10/2008 21:19:29 Edited By woozgan On: 14/11/2008 08:01:57
Kitambo ndugu upo kweli ? nimepita kukujulia hali.
nije mwana?
|
@yahoo
 |
Created On: 26/10/2008 01:48:32
na wewe kwa kujishaua!
ipo siku tu
|
g_thedon
 |
Created On: 25/10/2008 12:18:29
Hey za longi trime? you look like you are so buse is it?
|
PABLO
 |
Created On: 23/10/2008 23:04:23
Kimya kimya Bibie hata kusabaiana,Uhali gani wewe?Kila la kheli siku njema.
|
pataro
 |
Created On: 22/10/2008 05:39:44
zakupotea wewe?
|
ThAnX
 |
Created On: 21/10/2008 02:53:48
Mambo poa tuu, sijui wewe?karibu tena. 
|
saed
 |
Created On: 21/10/2008 01:13:34
hata bado haijakolea any way wewe ukiona vipi nipe shout nitakuzuria LUTON sio mbali na north
|
Natty_Bongoman
 |
Created On: 20/10/2008 23:50:47
Sweet thang! Nice to hear from yuh. Mambo swaafi? Nakutakia kila la kheri, babygyal
~blessed love Isistren
|
sweet voice
 |
Created On: 20/10/2008 22:24:44
usijali mpenzi .vipi mzm kbs.
|