Mramba, Yona Bado Wapo RumandeSIKU ya kwanza walipewa masharti magumu ya dhamana; baadaye wakakata rufaa na kushinda, lakini hawakutoka gerezani na Ijumaa kulikuwa na kasoro kwenye hati zao za mali.Jana Hakimu aligoma kushughulikia dhamana kwa kutokuwepo kibali cha Mahakama.
Tanzania Waweka Alama SilahaTANZANIA imeanza kuweka alama katika silaha zote sambamba na nchi nyingine za Ukanda wa Maziwa Makuu na Pembe ya Afrika.
Albino Aibwa Na kukatwa MapangaJITIHADA za Jeshi la Polisi kudhibiti mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi, albino, zinahitaji kuongezeka kutokana na kutokoma kwa vitendo hivyo baada ya mwanafunzi mwenye ulemavu huo, Mateso Dunia, 13, kuuawa kikatili na watu wasiojulikana.
Michuano ya U 17 Yasogezwa MbeleMICHUANO ya Afrika Mashariki na Kati kwa vijana chini ya miaka 17 yamefutwa baada ya Shirikikisho la soka la Afrika Mashariki na kati 'CECAFA' kuandika barua kwa TFF hayotafanyika kutokana na kukosa fedha za kuendeshea mashindano hayo.
Yanga Yatuma Majina CAFMabingwa watetezi wa soka wa Tanzania Bara, juzi walituma orodha ya wachezaji wake itakaowatumia katika mashindano ya Klabu Bingwa Afrika. kati ya wachezaji 28, wanne ni wapya waliosajiliwa katika dirisha dogo la usajili.