Created On: 04/07/2008 09:57:30 kwa hakika,upendo wa kutembeleana unazidi,kusoma habari kunazidi,kucheza games pia,kusoma na kuchangia mada kwenye Forum kunazidi.naona ikiwa kila wiki siku 2 hakuna chati,tutapandiana hadi ndege ha ha!...peace,luv,respect,unity..pamoja!
Created On: 27/04/2008 02:06:59 Niaje ndugu,,nimepita kukupa HI,, Feedback from matty16: asante sana, karibu tena.mzima wewe lakini?
Queen_Bonita
Created On: 27/04/2008 00:41:25 Sema Martin , long time....nimeamua nikupitie ili nikujulie hali bro.TC Feedback from matty16: shukrani, yea nimekuwa busy with mitihani lakini m almost done, where have u been?
Created On: 21/03/2008 08:58:51 mambo ni aje muzee,upo muzima? Feedback from matty16: shwari kabisa mkuu; sijui wewe?
Queen_Bonita
Created On: 19/02/2008 00:22:05 Am fine baby boy so what´s ballin? Feedback from matty16: dats wuts up, m dng fine n everythin is rollin by smooth; wuts gud with u?
Created On: 30/12/2007 18:36:05 It has been a great year,
but an even better one is ahead,because the new 2008 year can be anything
we want it to be.
So as we bid farewell to the old year
and welcome in the new,
let's dare to dream
of all we can accomplish
with a little hard work and dedication..peace,luv,respect,unity..pamoja!
Feedback from matty16: thnks man, wish u a happy new year to!
Created On: 23/12/2007 18:47:59 naona boss wangu kila nikigonga mlango kimya tuu sijui ulikuwa umeenda kule kwenye kijiwe cha gahawa lakini sio mbaya nilikuja kukupa salamu za xmass na mwaka mpyaFeedback from matty16: karibu ndani mkurugenzi: aha siunajua tena nilitoka kidogo: asante mkuu, nawatakia heri ya xmass na mwaka mpya na nyie pia
Created On: 19/12/2007 22:39:02 niambie mtu wangu mzima wewe naona chrismas ndio hiyo salama kabisa huko.Feedback from matty16: asante kaka, huku kwema kabisa, sijui nyie uko
Created On: 08/12/2007 18:45:30 wagwan man,nimekuja kukusalimie natumaini upo shwariFeedback from matty16: nashukuru mkubwa, mimi mzima kabisa: sijui ww?
Created On: 27/10/2007 05:07:39 mambo vp? kwema? just passby to say hi..peace,luv,respect unity..Pamoja!! Feedback from matty16: mambo bomba ndugu yangu..ishu zinakwendaje lakini?