sifa
 |
Created On: 29/08/2008 10:28:14
jamani wakunyumba mbona umenipita hivyo loh!
haya nipe habari za kina tembo wa uko wanasemaje.
nice weekend
|
Nisipitwe
 |
Created On: 29/08/2008 01:51:23
nikwambie yule mthungu kesho mwamkie ivi,mwamayo mwangaluka,unaskia jama, wikiendi njema
|
213RIZ
 |
Created On: 29/08/2008 01:04:40
Mkuu we acha tu!nimeku-miss kwenye mikutano ya pale chini ya ule mti karibu na yule mama mwenye paka wawili we acha!kikao kilikuwa kizuri tu tunatakiwa tutoe na ni hii ili kujenga ile na ni hii kwani umesahau?lol!mkuu tuko pamoja najua uko bussy kamanda kama vipi take care mkuu!lol!
|
papirto
 |
Created On: 28/08/2008 13:20:54
nimekusoma pia mkuu wangu nadhani sasa mambo poa!!!
siku njema mjasiliamali wangu!! Feedback from GAUCHO: pamoko kaka!
|
papirto
 |
Created On: 27/08/2008 14:55:50
nimekupata mjasiliamali wangu over!!!mi mzima hata mi nimeona herufi kubwa kubwa nikajua tu ni wewe,habari za pande hizo mkuu wangu??natumaini mambo yanaenda kama mungu apendavyo,mi mzima sana naendelea na yale mambo yangu vizuri kabisaaa,nakutumia nanii sasa hivi we subilia sasa hivi!!! Feedback from GAUCHO: pamoja nimekusoma mjasiliamali wangu
|
debra
 |
Created On: 27/08/2008 14:30:10
Chalaangu dk ya 32 heheheee...
Mazukaaa!!
Moko lavu...
JAH blezz[/color] Feedback from GAUCHO: oamoJah JAH bless u 2!
|
amachris
 |
Created On: 27/08/2008 05:13:13
KWEMA KAKA Feedback from GAUCHO: salama kabisa wangu!
|
saed
 |
Created On: 26/08/2008 19:29:40
mambo vipi?nimepite kukusalim mheshimiwa.habari za bondeni huko.  Feedback from GAUCHO: karibu sana mkubwa,huku wazima hofu yao juu yako!
|
debra
 |
Created On: 26/08/2008 14:31:14
Chalaangu hehehee unamchokoza naniliii lol tunananihiiiwa wote labda aje bosi wangu atuokoe coz tuko nae Traford...
Moko lavu chalaangu pamoJAH kama mie na nanilii...Hehehee
Blezz Feedback from GAUCHO: chalaangu kweli ni kama kuvuta bangi kituo cha polisi lol ngoja niache kumchokoza nanihii hehehe naona ulikuwa unatangaza gem via redio tz nimeona lol!
|
Mwajei
 |
Created On: 26/08/2008 10:20:57
hahahaha..ah kriket hiyo game noma it ll go on 4 10 hrs...its too much 4 a game...hahaha xoxo...asante..unaifagilia ehh..ni symbol o kifupi cha x=kiss n o=hugs
so ukiweka
xoxo unapata kises and hugs
unaweza ukaweka xxoo au xoxoxoxoxo au yakuishkaji xo=kis n hug ila mi nipo kwenye xoxo...hahaha cku njema jirani na kkam hujaelewa basi ntachepuka kwako nikitoka sokoni..hehehe
xoxo..representer..hahaah
Feedback from GAUCHO: jirani nimekusoma,safi hiyo xoxo
|
8figure
 |
Created On: 26/08/2008 08:05:55
My kaka shika more !! Baadae nitapita hapa nina kazi kibaooo bye !! Tk cr!! Tchaoo!! Naona olympic imeisha basi ndio full kulala tu .. .. Feedback from GAUCHO: my dada marahaba,poa kazi njema karibu sana wikiendi,sasa nipo olimpiki imeisha
|
debra
 |
Created On: 25/08/2008 15:04:36
Chalaaangu jamani wiki njema kwako niko hapa kune nanihiii nakula mchizi wangu laivuuuu
Moko lavu....
Versi la pili la mchizi wangu remixxxx
PamoJAH Feedback from GAUCHO: pamoJah chalaangu sikiza vizuri mistari hiyo maujumbe kibao!
|
8figure
 |
Created On: 25/08/2008 08:41:02
My kaka !! stay safe my kaka .. .. Feedback from GAUCHO: asanti my dada
|
Mwajei
 |
Created On: 24/08/2008 15:27:13
jirani jirani upooo...wat r we lukin in da pic 2day z it Mc Donald au tivii yenye olimpik....hehehee
napita jirani
xoxo
Feedback from GAUCHO: mtoto wa baba jiraniangu nipo wewe umenitupa sana siku hizi,poa karibu sana jiraniangu!
|
Nisipitwe
 |
Created On: 24/08/2008 14:38:28
hiii
napitwa jama wapi hapo jama yani pananipita iviivi,jamajama gudi day. Feedback from GAUCHO: wajameni nisubiri nimalize kuangalia kriketi na kula achikirimu lol
|