im just me,(Daddy's Gal)i cn b anything depend on da situation,environment(the anything part u shudnt see z wen am angry ;) ohh i gat a big thing 4 cats too ;)..n da rest u ll kno wen u kno me so ol homies n ma ppl outa ther mimi ni mimi nakuachia wewe unijue mwenyewe mwaya
I'd Like to Meet - Ningependa kukutana na:
Santa,xkulmets,Ne-yo,old frnds,new friends, ila hasaaa Masela wa 4rest 2002 (sina uhakia wich yr hehehe)..hola back niggers n em chicks
Interests - Napenda:
swimming,watchin movies,Tv,Tv,Tv n Tv, reading novels n comics wen im bored,to hv nite out wit em sistas n bro,evrythin wit music,na kulala ooh pia eating
My Photos & Videos
Only Registered Members Allowed to view the Photos in this Gallery! Not a member yet? Click here to register now, its easy & free!
Created On: 26/08/2008 20:25:32 HII THANX FOR THE COMPLIMENT..U LOOK CUTE I ENJOY WEARING WHAT YOU WORE..DEAR NOT UMM AL QUWAIN DEAR UMM SUQEIM..AFTER JUMERIAH NOT AFTER AJMAN
Created On: 26/08/2008 12:16:00 hahaha my neiba nimekusoma xoxo,imetulia ukitoka sokoni utanikuta naona mambo ya swimming pool hapo lol,kriketi poa sana yani nataka niwakilishe timu ya taifa letu la taifa kriketi,mana nashangaa timu ya taifa wote wadosi hakuna mweusi hata moja mfua jezi!
Created On: 25/08/2008 15:21:52 hey girl..am cool and u there?thanks for a greating am happy to reved ur sms in ma page hop ur are doing good too.thanks dear have a nice time..
Serikali leo, inakabiliwa na mtihani mgumu wa kuonesha ina msimamo katika masuala ya msingi, wakati Waziri
Mkuu, Bw. Mizengo Pinda, atakaposimama Bungeni kutoa ripoti ya
utekelezaji wa serikali juu ya kashfa ya Richmond
Read more...
Mwigizaji na mwanamuziki maarufu kutoka nchini Marekani Will Smith yupo nchini Tanzania, leo ametoka mjini Bagamoyo ambako alitoa msaada wa vyandarua katika hospitali ya wilaya ya Bagamoyo.
Read more...
Uhamasishaji wa RAFDA Mwanza na Arusha uliofanyika wiki hii uliendelea vizuri. Mwanza imeonyesha mwamko zaidi kwani wabunifu walijitokeza kwa wingi zaidi wengi wao wakiwa wana ujuzi wa fani hii kwani tayari wana majina makubwa kwenye ulimwengu wa fashion mjini hapo
Read more...
Walioshiriki olimpiki warejea na visingizio TIMU ya Tanzania iliyoshiriki michezo ya olimpiki mwaka huu, ilirejea
nchini jana na kueleza sababu ya kurejea mikono mitupu ni maandalizi
duni.
Wabunge wazuiwa kumjadili Kikwete SHAUKU ya wabunge kuichambua hotuba ya Rais Jakaya Kikwete aliyoitoa bungeni wiki iliyopita imekwama, baada ya uamuzi wa kuijadili kuzuiwa kwa sasa
Richmond: Wote hawa `out` Kuna taarifa kuwa vigogo kadhaa ambao walihusishwa na sakata la mkataba `bomu` wa kufua umeme wa dharura wa Richmond, watatupwa nje ikiwa ni hatua ya kutekeleza mapendekezo yaliyotolewa na Kamati Teule ya Bunge iliyoundwa kuchunguza sakata hilo
Mkapa amfunika Rais Kikwete kiutendaji RIPOTI ya utafiti wa hali ya kisiasa nchini iliyotolewa na Mpango wa
Utafiti na Elimu ya Demokrasia Tanzania (Redet) imeonyesha kuwa
Benjamin Mkapa alifanikiwa zaidi kiuntendaji katika miaka kumi yake ya
uongozi kuliko miaka miwili ya Rais Jakaya Kikwete
Pinda: Changieni elimu si harusi WAZIRI
Mkuu, Mizengo Pinda, amekemea tabia ya baadhi ya Watanzania kuthamini
zaidi kuchangia sherehe badala ya elimu, kwani Tanzania bado ina
kiwango cha chini cha udahili wa wanafunzi katika vyuo vikuu