Nimegawanyika pande mbili kwa wakati mmoja,2kiachana na kudeal na sanaa,i'm satellite technician more about me i have my blog muumustapha.blogspot.com you're wellcome to get more...
Sina ubaguzi na nani awe nami sambamba..nakaribisha wote,wanaume,wanawake wawe wazee au vijana hata watoto,7bu najifunza kila kukicha kutoka kwa mwengine.Ambacho nasisitiza mtu ajue ambacho anakifanya au ambacho anaongea,huu ni mwanzo mzuri kama tutautumia vizuri..we can move from one place to another si kibla bla bali kimanufaa.Mnakaribishwa wote.Thanks.
Napenda ambavyo vnapendwa na wengi especially vyenye manufaa..napenda mtu ambaye yupo serious na ambacho anafanya,napenda mtu mkweli,mcheshi 7bu utani ni part of my daily life,zaidi ya yote mpenda maendeleo.