SeCuRe
 |
Created On: 10/12/2008 22:28:12
asante kupitia ukurasa wangu.karibu tena.
|
mapozi
 |
Created On: 03/12/2008 19:40:10
Nimepita kukucheki
|
my rachel
 |
Created On: 02/12/2008 12:04:16
thanx shom u to..........ulok nicy
|
debra
 |
Created On: 02/12/2008 11:05:41
Sio kihivo mbona nime holla??
Haina noma chalaangu!
|
newlever
 |
Created On: 27/09/2008 10:26:58
mambo vp man za siku poa mida.1
|
mapozi
 |
Created On: 21/08/2008 18:43:11
Nilipita 2
|
Yassern
 |
Created On: 01/07/2008 05:45:02
nipo katika kuwa sabahi ndugu,jamaa na marafiki zangu wa karibu,nimekuja kwako lakini naona umetoka kufurahisha machi kidogo!haya mkuu..peace,luv,respect,unity..pamoja!
|
8figure
 |
Created On: 30/06/2008 11:12:58
Hi! Naona pic imekuzingua umepita bila hata ya kuacha ujumbe wangu!!! Poa ngoja nipate kusikiliza hiyo ngoma kidogo ya : I wanna make love in this club:
|
Didi 1
 |
Created On: 24/06/2008 16:50:49
usiokope ni mimi msela wako mbona wanikimbia
|
newlever
 |
Created On: 06/06/2008 09:40:10
sema man za siku wewe???
|
8figure
 |
Created On: 05/06/2008 15:17:37
nimekuja sijakukuta lkn nimekuja kwa ujumbe mmoja tu! mbona umenitupa kihivyo yani umetupa jongoo na mti wake??? Poa bye!!!
|
smart1
 |
Created On: 03/06/2008 11:58:25 Edited By smart1 On: 03/06/2008 11:59:07
Sup!!!u got a nice collection here.just saying hello
|
Lizzy2008
 |
Created On: 23/05/2008 07:58:23
Hi kaka yangu! Just wanna say habari yako! Mie dada yako mzima kabisa!
|
debra
 |
Created On: 20/05/2008 15:35:55
sante chalaangu...karibu tena.
PamoJAH
|
conny
 |
Created On: 20/05/2008 00:41:16
thnx u 2
|