papirto
 |
Created On: 29/11/2008 10:33:16
yo mzazi nipo sema tu kulikuwa na kwikwi hapa b5 basi ikawa balaa!!niaje lakini?uko poa?
|
United States of America
 |
Created On: 04/11/2008 20:27:22
poa man,
aisee mtoni sijui pakoje. Nina miaka mi nne bila kuona mto mazee. Feedback from DOMOZEGE: kwa nin?
Ee bana ee inonekana umeanza kusahau maujanja ya tizzy inabidi utafute mto au sio mtoto wa mboka
napenda sana kujua umesomea shule gani za tabora
|
newlever
 |
Created On: 03/11/2008 14:02:56
mambo vipi homie
|
papirto
 |
Created On: 29/10/2008 14:26:45
mazee niaje??mbona full mauzo utakuwaje domo zege tena??haha jina hilo kaka limenifurahisha sana umenikumbusha enziiiii hizoooooo wakati sound bado!!inakuwaje lakini mzazi uko full??
nimepita kukupa hi mwana!!! Feedback from DOMOZEGE: da c unaelewa ile kigumu m2 wangu c na sound yani nkiona totoz nabaki kutetemeke one luv pamoja m2 wangu
|