JustVisiting
 |
Created On: 08/01/2009 18:04:46
heyya...!
|
Carmelo
 |
Created On: 08/01/2009 17:54:58
sanaaa ki gugumizi kimenibada... huyu naona kila nyumba yupo maana kwangu ananibana kweli si unamuona ananenepa yeye mi nakonda
|
savio
 |
Created On: 07/01/2009 21:19:48
haya kama salaam zinaulizwa hivyo ...ila cool tupo tupo ok take care for now...
|
Carmelo
 |
Created On: 07/01/2009 17:54:55
basi tu tuyaache maana napata nakigugumizi cha mikono lol....
|
mlavitu flan flan
 |
Created On: 07/01/2009 17:48:00
mhhhhhhh.na kweli wengi inawachokoza
|
Carmelo
 |
Created On: 07/01/2009 17:31:14 Edited By Carmelo On: 07/01/2009 17:33:16
si unaona mwenyewe sasa maana uchokozi unazidi kunaongezeka tu.. dah we haya tu...
|
mlavitu flan flan
 |
Created On: 07/01/2009 17:30:16
SUPER HUMAN
|
Carmelo
 |
Created On: 07/01/2009 14:34:05
aaahh sina la kusema maana kila siku niamkapo unazidi kunimaliza!!!
|
savio
 |
Created On: 06/01/2009 18:04:44
jamna salaam haigombi..maana naona umepita mskani kimya kimya sio vizuri..ok happy new year ok salamz tu
|
Carmelo
 |
Created On: 06/01/2009 17:55:30
ndo maana yake.. makamuzi ni lazima mwisho wa mwaka.. ila naona hata kwako wewe yalikuwa mazuri!!!
|
ommy name
 |
Created On: 06/01/2009 11:32:16
hi! how r u imss so much! upo kwel mji huu or ulienda evnks
|
FESKAM
 |
Created On: 23/12/2008 22:32:19
HEJ, JEG KOMMER TIL DIG OG HILSEN, GODT NYTÅRS 2009, JEG BOR I DANMARK DE FINT FORDI JEG OG DIG BOET SAMMEN ISKANDNAVIA.
|
my rachel
 |
Created On: 19/12/2008 14:21:36
we mtoto umepotea sana ....upo mumy miss u my baby.....
|
United States of America
 |
Created On: 15/12/2008 11:27:14 Edited By United States of America On: 15/12/2008 11:27:27
hey lora, mambo vipi ?
|
Lonely Shirima
 |
Created On: 13/12/2008 11:30:54
hahaa wewe unajuwa ni mdogo wangu kabisa kwa another mom
niaje wewe unadimika kama kiuno cha nyoka mambo mengine kule wansemaje wale wa kaka na wadada wa siku ile unawakumbuka....
|