SwahiliEnglish
            Lost Password?    Click here to register
mekaki's Profile
Personal URL: http://www.bongo5.com/mekaki
Hits 252
Online Status OFFLINE
Member Since 28/08/2008 21:11:21
Last Online 12/09/2008 12:40:55
Last Updated 28/08/2008 22:10:39
mekaki
City: capetown
Hometown: sanyajuu
Country - Nchi: South Africa
Gender - Jinsia: Female
Age - Umri: 24 to 29
Drinker - Mnywaji?: No
About Me :: Kuhusu Mimi: mimi ni mwanafuzi katika chuo kikuu ca magharibi mwa cape huko capetown south africa.(university of the western cape)huu ni mwaka wangu wa tatu ,ninasomea kozi ya ualimu katika sayansi ya jamii na lugha na mawasiliano.huu ni mwaka wangu wa tatu na ninatarajija kumaliza masomao mwaka ujao 2009 kama mungu akipenda.pia mungu akisaidia nitafanya degreee ya pili ambayo itaegemea katika elimu maalum au special education
I'd Like to Meet - Ningependa kukutana na: marafiki mbalimbali wa kike na wa kiume. ninapenda kupiga story nan nina penda kukutana na watu wenye ujuzi mbalimbali na hata wale wasio na ujuzi ili tuweze kubadilishana mawazo na pia tuweze kutaua changamoto mablimbali zinazotukabili katika maisha yetu.
Interests - Napenda: mziki aina zote ila zaidi napenda nyimbo za dini.napenda kuzungumza na vijana jinsia zote,napenda kuchat,saa nyingine sipendi kukaa peke yangu ila saa nyingine nahitaji ukimya kamam kuna jambo natafakari,mimi ni muongeaji sana.sipendi kuboeka ndio maana kama mtu sio mzungumzaji ataona kama namboa sana.mwisho napenda kubishana hasa kama nataka kutafuta ushahidi kuhusu ukweli
My Photos & Videos

Only Registered Members Allowed to view the Photos in this Gallery!
Not a member yet? Click here to register now, its easy & free!




My Photo Albums

My Videos
Profile Visitors
The last 1 profile visitors
 
PhotoNameTime
   iceman  Date: 28-8-08 Time:22:31 
 
My Guestbook


This user currently doesn't have any posts.

My friends
OFFLINE LuckyLuca
 
Total Members
total 21955 registered
female 5434 female
male 16442 male
month 161 new this month
New: kibavu
Who's Online Now
We have 12 guests online and 1 member online
kibavu
Bongo5 Chat Zone 2.0
Total of members in the chatroom:
2006-2007 © Copyright Bongo5.com