| About Me :: Kuhusu Mimi: |
mimi ni mwanafuzi katika chuo kikuu ca magharibi mwa cape huko capetown south africa.(university of the western cape)huu ni mwaka wangu wa tatu ,ninasomea kozi ya ualimu katika sayansi ya jamii na lugha na mawasiliano.huu ni mwaka wangu wa tatu na ninatarajija kumaliza masomao mwaka ujao 2009 kama mungu akipenda.pia mungu akisaidia nitafanya degreee ya pili ambayo itaegemea katika elimu maalum au special education |
| I'd Like to Meet - Ningependa kukutana na: |
marafiki mbalimbali wa kike na wa kiume. ninapenda kupiga story nan nina penda kukutana na watu wenye ujuzi mbalimbali na hata wale wasio na ujuzi ili tuweze kubadilishana mawazo na pia tuweze kutaua changamoto mablimbali zinazotukabili katika maisha yetu. |
| Interests - Napenda: |
mziki aina zote ila zaidi napenda nyimbo za dini.napenda kuzungumza na vijana jinsia zote,napenda kuchat,saa nyingine sipendi kukaa peke yangu ila saa nyingine nahitaji ukimya kamam kuna jambo natafakari,mimi ni muongeaji sana.sipendi kuboeka ndio maana kama mtu sio mzungumzaji ataona kama namboa sana.mwisho napenda kubishana hasa kama nataka kutafuta ushahidi kuhusu ukweli |