| About Me :: Kuhusu Mimi: |
Hii! people my name is AKWINO MSOMBE FROM UYOLE MBEYA TANZANIA YOU CAN CONTACT WITH ME TO MY address is AKWINO MSOMBE UYOLE AGRICULTURE TRAINING INSTITUTE BOX 2292 MBEYA TANZANIA EAST AFRICA....tel +255754838941,+255717561296
Mimi ni kijana nimaye jishughulisha na ufundi umeme kwa sasa nipo chuo cha kilimo uyole ninatarajia kuanzisha ofisi itakayo kuwa ikijihusisha na masuala yote ya umeme itakuwa ikiitwa AKWIELECTRICAL ambayo itakuwa ikijihusisha na utengenezaji wa vyombo mbalimbali vya umeme kama vile pasi ya umeme,jiko la umeme,hita za maji.nk.PIA KUFANYA WIRRING KWENYE MAJUMBA lakini kwa sasa ninafanya shughuli hizo binafsi kwa wale waliopo mkoa wa MBEYA na sehemu zilizo karibu.Sehemu nilipo kwa sasa ni kilimo uyole hivyo kwa yeyote mwenye tatizo la umeme au vitumia umeme nitafute kwa njia zifuatazo unaweza kutumia anuani ya postal ambayo ni AKWINO MSOMBE UYOLE AGRICULTURE TRAINING INSTITUTE BOX 2292 MBEYA TANZANIA EAST AFRICA...tel +255754838941,+255717561296 |
| I'd Like to Meet - Ningependa kukutana na: |
ANY ONE (YEYOTE) |