I m just a cool TZ guy currently living in USA. i believe in God! yes He is there for you too. napenda sama utani wa kiutu uzima na kuwa na marafiki mbalimbali wahaminifu lakini!.
I'd Like to Meet - Ningependa kukutana na:
im kind of looking for some
honest friends who are there and ready to share their stories and life time experience "honestly" with others, someone who doesn't seggregate another human being for whatsoever reason be it religion, colour, tribe or even race b'coz in every human being we see, there is the image of GOD. so don't dare to seggregate or discriminate (GOD), but mh!,in case of personal behaviours, that is fine if you filter some persons, i hate it when i see a woman smoking so dont dare to, or if u do just quit, it's not good for you and u can stop it i assure u!. so c u
Interests - Napenda:
TV MOVIES, NOVELS, TRAVELLING, MAKING FRIENDS etc
My Photos & Videos
Only Registered Members Allowed to view the Photos in this Gallery! Not a member yet? Click here to register now, its easy & free!
Created On: 16/09/2008 11:58:18 Leo siendi kisimani naogopa wangu huko juzi tu nimekutana nyoka huko kisimani nimeogopa siendi peke yangu nitaenda na naniliiiuu.. .. Tchaoooo!!
Created On: 06/09/2008 19:07:54 Edited By mwatumu On: 06/09/2008 22:24:08 hey,,long time never see u..i think ur are great well,,i wish ramadhani kareem gud day Feedback from mimina8: THANX ITS SUCH ALONG TIME I ADMIT, ITS JUST THAT I VE BEEN TOO OCCUPIED NOWADAYS. BUT HOPEFULLY SOON IM GONNA BE AVAIL, THANX FOR RAMADHAN WISH DA SAME APPLIED TO YOU.
Created On: 01/09/2008 19:14:24 sema mwana mambo vip?,,,,,,habari za Mamtoni mtu wangu mnakula kuku kwa mrija au sioFeedback from mimina8: mwanangu huku mamtoni hakuna jipya mambo ni yaleyale tofauti ukubwa tu, lakini basically kila kitu ni kile kile tu, enzi za zamani huko home wakati no tv, radio kwa balozi ndo watu walikuwa wanashangaa mamtoni lakini sasa mimi naona hakuna jipya maisha tu, karibu tema ndugu yangu,
Created On: 01/09/2008 02:12:24 nice pic..ur are looking cute Feedback from mimina8: thanx, mambo ni aje?, na wewe kama kawaida na mdumange naona unaupenda sana huo
Created On: 31/08/2008 14:15:59 Edited By Mwajei On: 31/08/2008 14:17:29 ahh haiwezekani jamani..nipite bila salam...bt if i did i must b in hurry..mi mzima mwaya..hivyo hivyo tunajaribu kusavaiv..Oklahoma kunasemaje..waninyima nini huko jamani...x 4 dropin...
xoxo Feedback from mimina8: huku shwari tu tunaendelea kupambana na maisha kama kawaida c wajua tena, nimefurahi sasa unapita kwa jirani kiungwana na kusalimu huo ndo uungwana na ndio utz bwana sifa yetu kubwa kujuliana khali, karibu tena jioni nitapita nyumbani wasalimie sana,
Created On: 28/08/2008 18:40:48 Hi
Just passing by and thought - let some words in your guest book - and here they are!
Greetings to You from Austria
Walter
Created On: 28/08/2008 14:24:10 hey mambo vipi wewe?mi naona tuyaite mdumange,au we unaonaje jirani?na kisimani tutaenda wacha kwanza hii summer iishe then tutaenda kuchota maji..
Created On: 27/08/2008 13:55:36 Haya niaje mitaa hii jamani mbona kimya kimtindo na sisi tukikaa kimya lwama haya nimepita sijakukuta Okey! bye Tk cr! Feedback from mimina8: karibu tena na tena, mimi nipo na nitaendelea kuwepo kwa watu kama wewe, tk care too
Created On: 24/08/2008 15:00:48 basi sikunyingine uje ushinde maana mbio mbio kila siku haifai....mzima lakini...howz life treating ya?...ur profile pix r jst beautiful....
xoxo
Created On: 21/08/2008 23:33:00 haa haya yukoje na kavaa nguo gani?nikusaidie ndugu yangu kumtafuta Feedback from mimina8: YUKO MIONGONI MWA HAWA MARAFIKI ZANGU SASA MH, KWANZA NIHAKIKISHIE KABISA UTANISINDIKIZA KUMPATA
Ladies and Gentlemen hayawi hayawi sasa yamekuwa!! Its now official
club kongwe na maarufu nchini Tanzania Club Bilicanas leo itafungua milango wazi kuwakaribisha wapenda starehe
jijini Dar-es-Salaam na Tanzania kwa ujumla
Read more...
Hii ni pengine breaking newz kwa wale wote wanaopenda kununua maji
njiani yaani yanayosambazwa na kuuzwa na wachuuzi wa maji katika
barabara na mitaa ya jiji la Dar-es-Salaam
Read more...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, jana ilipanda joto baada ya mawaziri wa zamani wawili Bw. Basil Mramba na Bw. Daniel Yona, kufikishwa hapo, wakituhumiwa kutumia vibaya madaraka yao wakiwa mawaziri
Read more...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Uchumi, ambaye yuko katika likizo ya kustaafu, Grey Mgonja, jana alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam akikabiliwa na mashitaka manane.
Serikali imefungua uwanja mpya wa mapambano dhidi ya wabunge baada ya kutangaza wazi kwamba ina mpango wa kununua mitambo ya kufua umeme ya kampuni ya Dowans, uamuzi ambao unapingwa vikali na wawakilishi hao wa wananchi.
Hatimaye, Serikali imesikia kilio cha muda mrefu cha walipa kodi juu ya matumizi makubwa yasiyo ya lazima serikalini katika ununuzi wa magari ya kifahari maarufu kwa jina la mashangingi na sasa ununuzi wake utapunguzwa kwa kiwango kikubwa.
Maelfu ya mashabiki wa soka wa jijini Dar es Salaam jana walijitokeza katika mitaa mbalimbali ili kuilaki timu ya taifa, Taifa Stars iliyorejea nchini kutoka Sudan baada ya kufanikiwa kukata tiketi ya kushiriki fainali za kwanza za Kombe la Mataifa ya Afrika (CHAN).
CPWAA - PWAA Part II
- kaka unajitahidi sana ka...
By: Ngweno
Bushoke - Dunia Njia
- mzee wewe kichwa asiyeku...
By: Ngweno
Bilicanas Kufunguliwa Rasmi Le...
- procurement and accounting ...
By: mlavitu flan flan
Bado Nipo Nipo - Mwana FA
- hoo no noma - :woohoo: nime...
By: manramzo
Fid Q ft AY & Ncha Kali - Shim...
- Mazee Hiyo imesimama Shi...
By: Gonabis
Fid Q ft AY & Ncha Kali - Shim...
- Eng by prof - shi...shi.....
By: fademark
Fid Q ft AY & Ncha Kali - Shim...
- ACHENI USHAMBA-MABINGWA WA&...
By: Gonabis
Black Rhyno - Vaa Tutoke
- sijui nikuambie nini ilike ...
By: mpeter
Moto Unawaka - Klex
- :huh: jamani mm naona mmeim...
By: mpeter
Flaviana crowned Miss Universe...
- hi hamjambo ndugu zangu wte...
By: pesa2