| About Me :: Kuhusu Mimi: |
Nipo hapa Turkey kwa muda mrefu hivi sasa,na ntaendelea kuwepo hapa,
nipo hapa kwa ajili ya kutafuta maisha niki fanikiwa tu sinabudi kurudi nyumbani kuwaona wazee,ndungu,jamaa na marafiki nilio waacha sikunyingi hapo nchini kwetu Bongo. |
| I'd Like to Meet - Ningependa kukutana na: |
Mimi napenda kukutana na kila binaadam yoyote muhim tusivunjiane heshma kwani hesma ni kitu cha bure. |
| Interests - Napenda: |
Mimi napenda mpira wa miguu kwani nilikuwa mchenaji wa malindi sports club yakule Zanzibar kwenye miaka ya 1989-91.
vile vile anapena kusafiri nchi mbalimbali duniani nnapokuwa na uwezo,
napenda kuishi na family,
napenda kusoma vitabu,magazet, kusikiliza mpya, musiki. |