Suki
 |
Created On: 14/11/2008 04:05:17
AYA NIMEPITA KUKUSALIMIA
MAMBO
|
Lonely Shirima
 |
Created On: 12/11/2008 21:45:05
ebwana niajee wewe mbona kimyaa au umepotezwa
kaka nimepita kukusalimu
PA1
|
8figure
 |
Created On: 27/10/2008 10:11:34
Usijali salamu zako zimefika nao wanakupa hi!! za kufa mtu .. ..Nyc tym!!
|
Jenna
 |
Created On: 25/10/2008 20:32:15
Hujambo and thanks for friendsrequest...Ashante sana... 
|
gracejohnny
 |
Created On: 23/10/2008 19:27:48
mbona umepita kimya kaka...tho hujanikaribisha ndio nimeshaingia chumbani utajipangaa--lols.
Nirushie redbull
|
Carmelo
 |
Created On: 23/10/2008 15:09:04
si unajua tena kujipooza muhimu kaka.. nipasie mwenzako moja baridi...
|
Carmelo
 |
Created On: 22/10/2008 12:42:26 Edited By Carmelo On: 22/10/2008 12:43:33
naona mkuu unataka kupooza kiu kimtindo.. au upo kwenye mauzaji kule kijijini kwenu kobenhav??hahahaha
|
natty gal.
 |
Created On: 19/10/2008 15:40:41
asanti.
|
Lawalawa
 |
Created On: 18/10/2008 23:55:07
Mie mzima tu kaka,
hofu kwa weye tu.
|
said salehe
 |
Created On: 16/10/2008 04:00:36
katibu kata nisoo!!wwe jifanye mzalendo ufe maskini!!me nimeshachokaa kuuza karanga na kuwakusanyia watu kodi!!teh!teh 2getha bro.
|
Carmelo
 |
Created On: 13/10/2008 16:07:24 Edited By Carmelo On: 13/10/2008 16:07:52
naona kijana umerudi tena uswahilini?? vipi mazao yamekubali nini?? karibu sana town kaka.. hapa shwari tu sijui kwako kaka??
|