kelly31
 |
Created On: 20/12/2008 03:09:43
poa how r u ?
|
kelly31
 |
Created On: 06/12/2008 15:29:23
mambo vipi ?
|
Ngweno
 |
Created On: 26/08/2008 18:31:09
ingia ndani mzee mbona unaishia nje 2 salama lakini?
|
Faza
 |
Created On: 25/08/2008 14:45:59
Naam mkubwa, nimepita kukupa hi. good day Feedback from chelsea1: Nashukuru sana Mkubwa kwa kupita mtaa huu na kunitakia siku njema mkuu...na mimi pia nakutakia siku njema kabisa
|
mapozi
 |
Created On: 09/08/2008 15:18:17
Nilikucheki Feedback from chelsea1: shwari kabisa mwana nilikucheki pia....mambo vipi lakini?
|
Lawalawa
 |
Created On: 25/07/2008 03:22:51
hata salaam bro.
|
depayo
 |
Created On: 23/07/2008 14:32:09
mambo vip lakin
|
Lonely Shirima
 |
Created On: 21/07/2008 22:44:00
mzee siuo mchezo songea mpo juuu kaka ilo halina kupinga naomba niwe wa kwanza ku comments proff yako karibu b5 kaka
|