| About Me :: Kuhusu Mimi: |
Mimi ni Rai wa Tanzania ambae naishi Cape Town nchini South Africa nachukuwa course ya Markering Adm. INTEC College na ni Co-owner wa galleries collection maarufu South Africa MM Galleries (www.mmgalleries.4t.com) |
| I'd Like to Meet - Ningependa kukutana na: |
Ningependa kukuta na marafiki wa jinsia zote kwa ajili ya ku exchange messages na wasanii pia wa ahaina yeyote ,Wachoraji, sanaa za mikono nakadhalika... au kama una rafiki au mtuu yeyote unaemfaamu msanii naomba tuwasiliane.omary
(infommgalleries@gmail.com) |
| Interests - Napenda: |
Napenda michezo, kushiriki Gym na kwenda out na marafiki |