reemat1234
 |
Created On: 10/12/2008 07:23:18
mie mzima wa afya tele....op u r doin gud.gudai 
|
FESKAM
 |
Created On: 06/12/2008 22:11:54
Hi, ndugu yangu mbona unapitia tu ,bila ya kusalim ndugu yako nwana, basi mimi naktakia kila la heri na mafanyikio kwa mwaka tunaanza, salam huko.
|
mapozi
 |
Created On: 27/11/2008 17:42:50
Nilipita kukucheki mweshimiwa
|
8figure
 |
Created On: 27/11/2008 09:32:21
Miss you too!!
|
United States of America
 |
Created On: 14/11/2008 21:57:48 Edited By United States of America On: 14/11/2008 22:01:09
hatumtaki huku kwetu, tumeisha mchoka. Labda umtume Iraq.
|
United States of America
 |
Created On: 13/11/2008 23:45:08 Edited By United States of America On: 13/11/2008 23:48:51
mambo vipi Mr. B.Obama.
sasa unangoja nini kuingia ofisini, iwapo unaitaji msaada wakutoa vitu vya Bush naweza kukusaidia bila malipo yeyote Sir lakini sina suti yeyote ambayo naweza kuingia nayo kwenye white house na kuwatisha watu wote mle.Na tulikua tunapenda ubadilishe jina whitehouse kua Blackhouse Sir
|
8figure
 |
Created On: 13/11/2008 10:09:53
Tena uje ufanye fasta maana sijawahi pata hiyo frech kiss siku hiyo itanitoa ushamba!
|
PETRO
 |
Created On: 12/11/2008 21:55:24
umemuona obaya? sasa tuko Wight house kibaki nini?...........nijibu
|
PETRO
 |
Created On: 12/11/2008 21:18:57
KAKA SALAMU ZAKO
|
reemat1234
 |
Created On: 12/11/2008 08:04:50
mamba vp....... 
|
Tamu
 |
Created On: 11/11/2008 11:52:32
wakaribishwa anytime dear.
hahahhahhahahhaa sijashika kisu ila nimeshika bisu. utamu wa mahanjumati nikajikuta nimekata vidole.
love u sana
|
8figure
 |
Created On: 10/11/2008 09:17:57
Kumbe hunipendi unanitamani nilivaa vile unajua huku joto sana so huwa napenda sana kupunga upepo mwana si unaelewa tena? Nyc tym!
|
reemat1234
 |
Created On: 10/11/2008 07:34:40
ongera kwa kuwa bosi wa usa... 
|
afrgal
 |
Created On: 08/11/2008 17:40:06
Nilidhani sitokaribishwa ndo maana nkatoroka...hihi...mie shwari tuu...vipi ww kaka?
|
8figure
 |
Created On: 07/11/2008 09:58:44
Kisa cha kupita kwangu bila ya salamu ni nini? au hii nguo imekushtua nabadili basi!
|