8figure
 |
Created On: 27/10/2008 08:50:21
We tulia tu wanguz usichachawe wala nini au sio?? Huku tupo full mazuka, sijui pande hizo!! Nyc tym!
|
8figure
 |
Created On: 20/10/2008 08:12:53
Hujatulia wewe mzima wewe??
|
8figure
 |
Created On: 08/09/2008 10:20:42
Mimi nipo tu wangu nipo fresh au sio tunawakilisha tu b5 !! Vp mzima wewe??
|
afrgal
 |
Created On: 03/09/2008 17:48:17 Edited By afrgal On: 04/09/2008 04:23:18
Ever heard of Ramadhan? Usintie dhambini mtoto wa watu bure
|
afrgal
 |
Created On: 03/09/2008 00:48:13
Sijambo bro sijui weye? TC Feedback from Ancojak: MI MZIMA TU HABARI ZA HUKO?
|
carine
 |
Created On: 02/09/2008 10:41:51
hahahahahahah shemeji yako umemuona umetoa macho kama umenanwa kune mlango
|
PETRO
 |
Created On: 01/09/2008 19:52:22
b]poa wape salamu sana hapo lete mpya maisha vip?
|
PETRO
 |
Created On: 24/08/2008 23:01:57
haya mkuu good job mambo vip? Feedback from Ancojak: Nashukuru kaka kwa kupita hapa kwangu. karibu tena bila kuchoka!!!!!!!!!!!!.
|
Natural Man
 |
Created On: 18/08/2008 12:49:35
Hainaga manoma mtu wangu!!!!
respect kwako wangu!!!
one man one movement and one music for us!!!!!
PaMoJaH Feedback from Ancojak: Asante jikaka karibu tena
|
GAUCHO
 |
Created On: 18/08/2008 10:32:06
njomba hapo ndio nyumbani njomba kina nchumali na achimwene wanakuchalimia chana wanasema karibu chamaki nchanga hahaha 
|
8figure
 |
Created On: 18/08/2008 10:23:04
Mambo poa tu wangu !! Nashukuru kwa kuja kunipa hi!! vp huko kwema?? Feedback from Ancojak: Huku kwema tu vipi urafiki naomba usinisahau basi dada angu
|
GAUCHO
 |
Created On: 08/08/2008 13:53:42
kina nchumali wanakuchalimu chana ni ndani ya bellville ukipenda ita biavooo,pamoja masomo mema kaka Feedback from Ancojak: Asante mwanangu nashukuru kwa kupita tena karibu tena na tena na tena na .................
|
carine
 |
Created On: 30/07/2008 18:52:09
hahaha pole wangu niko msituni nakata kuni nikitoka utaniona kwa mbali nachomoza
|
GAUCHO
 |
Created On: 30/07/2008 12:41:26
haya kaka kwema,kumbe mwenzangu ww ndani ya mji wa rasi,vp naona upo kazini hapo?ebwana wacha nikuache ila wasalimie wote wale kina sisie na warangirangi huko wape kunjani na awe wote pamoja 
|
carine
 |
Created On: 28/07/2008 11:26:08
poa mzima wewe?
|