annakasuga
 |
Created On: 31/07/2008 17:17:26
thanx 4passin' by.. hope ur ok
barida kama vp mida
|
nemo
 |
Created On: 31/07/2008 16:10:01
mambo vp,tu chat basi.
|
GAUCHO
 |
Created On: 31/07/2008 11:24:33
kweli napitwa na mapanki,huku labda mabugando tu,siku njema iwe kwako my dada sister! Feedback from Nisipitwe: hahah panatisha jama mabugando tena teh teh teh hapafai jama
|
Natural Man
 |
Created On: 31/07/2008 10:15:07
Mbona sioni mapanki huimo kwa jokofu?
haya kama vp nitupie matatu nijichane na wanao ulioniachia huku!!!!!
moko respect n love to u!!!!
pamojah basi!!! Feedback from Nisipitwe: jama jama,chungulia vizuri utayaona kwene rambo hapo juu,
|
GAUCHO
 |
Created On: 30/07/2008 12:16:17
mwanza oh mwanza oh mwanza ni kuzuri,mwanza ntarudi mwanza oh,mwanza ntakuja tena,niaje napitwa na nini mwanza hapo 
|
Ngweno
 |
Created On: 28/07/2008 18:13:48
nashukuru sana nimepata salam zako,karibu tena na tena!
|
lion_wh
 |
Created On: 10/07/2008 22:54:50
Hello 
just greetings to YOU from Austria
Walter
|
shamsee
 |
Created On: 09/07/2008 09:05:11
napita man full mzux man
|
sifa
 |
Created On: 09/07/2008 09:03:20
haya na ili nalo limekupita tena watu kuchat kwenye prof
|
fmhowa
 |
Created On: 08/07/2008 00:42:21
Dada salama?mie sijambo,asante kwa kupita kwa my profile,
kila la heri usichoke kuacha Hi kila upitapo,byeeeeeee
|
debra
 |
Created On: 06/07/2008 21:36:08
Jama jama unepitwa sana hahahaaaa...Ulikua wapi weye jama??
Sante kwa kupitaNyegezi hapa..tulhoi sana...
Nisipitwe umenipita sana mazee..Moko lavu,pamoJAH
|
Natural Man
 |
Created On: 06/07/2008 18:14:26
Mhhhhhhh aliyepoteza funguo za jengo kakufanya upitwe sana pole unajua hata mimi pia nimepitwa sana maana duh chi chemi kabisa!!!!
j2 njema na wape hi kirumba kama vipi!!!
moko love sis!!!
|
Kikopo
 |
Created On: 06/07/2008 15:26:44
Sis wangu vipi mzima ? nimepita hapa mwaloni kidogo kuchukua sangara. enjoy and have a nice day Feedback from Nisipitwe: nazipenda sangara sana,tena chagua wakubwa wakubwa.
|
Yassern
 |
Created On: 06/07/2008 15:13:33
mkuu visiting week inaisha sasa,mambo yatakaa sawa wk ijayo,tulikuwa tunafanya tathmini,maana tulisahau kusoma habari,forum hata kuchangia mada maana waungwana walikuwa hawakumbukani kabisaa! haha!poa mkuu!peace,luv,respect,unity..pamoja!
|
benmugashe
 |
Created On: 06/07/2008 14:53:38
napita wangu salamu zao kanda ya ziwa
|