woozgan
 |
Created On: 05/09/2008 18:42:48
habari za leo msis.
|
mtonikitambo
 |
Created On: 03/09/2008 03:13:05
ramadan kareem
|
Natural Man
 |
Created On: 30/08/2008 09:00:01
Mohola duh nkyema!!!
vp kwema lkn?
Mi niko adimu kidogo mambo ya job hayoko sawa so narekebisha kwanza yakisha tulia tutakuwa wote mjengoni!!!
respect kwako nkyema!!!
|
mwatumu
 |
Created On: 29/08/2008 17:55:20 Edited By mwatumu On: 29/08/2008 17:55:59
mi mzima dear sijui wewe?na kwambia njoo nafasi kubwa ile wala hatubanani pale..tu enjoy we are week end together,,ur are welcome dear be free..tuyakate mayi.
|
GAUCHO
 |
Created On: 29/08/2008 11:05:56
haya wajameni,unajua kuna ngosha 1 alikuwa anamwambiaga twente tu(twende tu) sasa yeye akadhani namwambia 22 si unajua tena akimuuliza unaenda wapi twente tu,wakaenda kwenye kituo cha mafuta mzungu kauliza kwa kiingereza lita ngapi ngosha kajibu twente tu wakaweka lita 22 poa ngoja niishe hapo ntamwambia mwangaluka mayo pamoja siku njema iwe kwako mayo! Feedback from Nisipitwe: hahaaha,ama kweli twente tu,haha
|
Carmelo
 |
Created On: 29/08/2008 11:01:57
inawezekanika ila hawachek kivipi maana dizaini za kuchek zipo nyingi...
|
sifa
 |
Created On: 29/08/2008 10:09:28
hivi jamani mbona sikupiti wangu, ila wewe ndio naona unanipita kweli
haya niambie unaendeleaje na hali
nice weekend
|
iceman
 |
Created On: 27/08/2008 21:53:35
Dah!! hiyo itakuwa sio fair trade kwa sababu murano ndogo sana ila usiwe na wac mm ninazo nyingi nitakupa bure Feedback from Nisipitwe: hiii asavali ,lini utanigaiya.
|
GUCCI
 |
Created On: 26/08/2008 20:32:32
HII TO YOU ALSO THANX FOR COMING
|
Mwajei
 |
Created On: 26/08/2008 11:37:55
heloww Nisipitwa...hatuwezi kukupita....dats guaranteed...thnx n thnx 4 dropin by..vipi mzima..unatunyima nini M-town...
xoxo
Feedback from Nisipitwe: poa tu,huku unapitwa sangara tu huko je
|
Lonely Shirima
 |
Created On: 26/08/2008 07:53:12
powa mtu wangu pa1 tunasongesha
|
iceman
 |
Created On: 26/08/2008 01:07:29
Dah!! Nilipitakwa haraka kidogo Ila usiwe na wac ckunyingine sitafanya hilo kosa
|
kigocomplex
 |
Created On: 26/08/2008 00:05:18
po nimekupitia kukupa hi mrembo.
|
Lonely Shirima
 |
Created On: 25/08/2008 15:17:33
mdogo wangu nimekumiss niajeee mazeiya duh kama hutajali nipigiue simu namba yangu ni MSB193
|
GAUCHO
 |
Created On: 24/08/2008 15:52:00
wajameni yani nimekusubiri nikaona gari linanipita hivi hivi ikabidi mdhungu anipe lifti niende nikanunue achikirimu,haya wajameni,siku njema wajameni iwe kwako usinipite tena jamani Feedback from Nisipitwe: iwe kwako pia,jama jama basi kesho nakupitia hapo marcdonards wangu.
|