Created On: 12/06/2008 13:54:19 nisipitwe heheheheee
yaani unajau kwa kweli siezi kukupita labda wee ndo huwa unanipita sana na ile prado yako mazeee....
Pamoko...moko lavu
Created On: 09/06/2008 21:22:36 Heee, wewe hata siamini...nashukuru kwa kutopitwa na salamu zako, japo umekuja kwangu ukaishia sebuleni lakini salamu nimezipata wangu...pamoko