Created On: 01/08/2008 18:57:04 Naamini huko Mwanza nako wazima, nimepita kukuchungulia!Feedback from Nisipitwe: wapo shwari kabsa asante kuchungulia rock city,karibu tena
Created On: 01/08/2008 13:43:20 Nashukuru sana mrembo, vipi Mwanza huko? Nimeshtushwa na wewe? Kumbe kuna...mmejificha huko Mwanza? dah! Unafanya nini huko? Poa Keep in touch. Feedback from Nisipitwe: ani tumejificha kune mashamba ya pamba huku jama,nalima pamba kwa wingi karibu
Created On: 01/08/2008 03:41:18 Asante sana, cute sis,
Nami nipo mzuka tosha, Feedback from Nisipitwe: jamani my sisy nakuletea na kigoda ukae ani usiondoke kabisa
Ladies and Gentlemen hayawi hayawi sasa yamekuwa!! Its now official
club kongwe na maarufu nchini Tanzania Club Bilicanas leo itafungua milango wazi kuwakaribisha wapenda starehe
jijini Dar-es-Salaam na Tanzania kwa ujumla
Read more...
Hii ni pengine breaking newz kwa wale wote wanaopenda kununua maji
njiani yaani yanayosambazwa na kuuzwa na wachuuzi wa maji katika
barabara na mitaa ya jiji la Dar-es-Salaam
Read more...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, jana ilipanda joto baada ya mawaziri wa zamani wawili Bw. Basil Mramba na Bw. Daniel Yona, kufikishwa hapo, wakituhumiwa kutumia vibaya madaraka yao wakiwa mawaziri
Read more...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Uchumi, ambaye yuko katika likizo ya kustaafu, Grey Mgonja, jana alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam akikabiliwa na mashitaka manane.
Serikali imefungua uwanja mpya wa mapambano dhidi ya wabunge baada ya kutangaza wazi kwamba ina mpango wa kununua mitambo ya kufua umeme ya kampuni ya Dowans, uamuzi ambao unapingwa vikali na wawakilishi hao wa wananchi.
Hatimaye, Serikali imesikia kilio cha muda mrefu cha walipa kodi juu ya matumizi makubwa yasiyo ya lazima serikalini katika ununuzi wa magari ya kifahari maarufu kwa jina la mashangingi na sasa ununuzi wake utapunguzwa kwa kiwango kikubwa.
Maelfu ya mashabiki wa soka wa jijini Dar es Salaam jana walijitokeza katika mitaa mbalimbali ili kuilaki timu ya taifa, Taifa Stars iliyorejea nchini kutoka Sudan baada ya kufanikiwa kukata tiketi ya kushiriki fainali za kwanza za Kombe la Mataifa ya Afrika (CHAN).
Bado Nipo Nipo - Mwana FA
- NAHITAJI LYRICS ZAKE!!!!! -
By: Jaybee
CPWAA - PWAA Part II
- kaka unajitahidi sana ka...
By: Ngweno
Bushoke - Dunia Njia
- mzee wewe kichwa asiyeku...
By: Ngweno
Bilicanas Kufunguliwa Rasmi Le...
- procurement and accounting ...
By: mlavitu flan flan
Bado Nipo Nipo - Mwana FA
- hoo no noma - :woohoo: nime...
By: manramzo
Fid Q ft AY & Ncha Kali - Shim...
- Mazee Hiyo imesimama Shi...
By: Gonabis
Fid Q ft AY & Ncha Kali - Shim...
- Eng by prof - shi...shi.....
By: fademark
Fid Q ft AY & Ncha Kali - Shim...
- ACHENI USHAMBA-MABINGWA WA&...
By: Gonabis
Black Rhyno - Vaa Tutoke
- sijui nikuambie nini ilike ...
By: mpeter
Moto Unawaka - Klex
- :huh: jamani mm naona mmeim...
By: mpeter