SwahiliEnglish
            Lost Password?    Click here to register
Latest Shout-Out!
Tamu:

Salaam nyingi ziwafikie Bhoke na wengineo wengi kutoka kwa kaka Yama. 
 
kesho y



Music Corner




Advertisement
Sudoku
Nisipitwe's Profile
Personal URL: http://www.bongo5.com/Nisipitwe
Hits 3053
Online Status OFFLINE
Member Since 22/05/2008 13:04:35
Last Online 19/12/2008 19:11:10
Last Updated 01/08/2008 19:06:26
Nisipitwe
City: Mwanza
Hometown: Mwanza
Country - Nchi: Tanzania
Gender - Jinsia: Female
Age - Umri: 24 to 29
Relationship Status: Single
Drinker - Mnywaji?: No
Smoker - Mvutaji?: Occasionally
About Me :: Kuhusu Mimi: Im cool
I'd Like to Meet - Ningependa kukutana na: Everybad
Interests - Napenda: to know everything,Music,Dancing,Chatting,Swimming,nisipitwe
My Photos & Videos

Only Registered Members Allowed to view the Photos in this Gallery!
Not a member yet? Click here to register now, its easy & free!




My Photo Albums

My Videos
Profile Visitors
The last 10 profile visitors
 
PhotoNameTime
   mikingamo  Date: 09-1-09 Time:14:37 
   flora  Date: 06-1-09 Time:19:26 
   vinho211  Date: 25-12-08 Time:13:22 
   sifa  Date: 22-12-08 Time:11:27 
   mkulima  Date: 19-12-08 Time:19:24 
   Assakis  Date: 19-12-08 Time:19:19 
   Njelemela  Date: 29-11-08 Time:16:21 
   GAUCHO  Date: 19-11-08 Time:15:25 
   precious  Date: 16-11-08 Time:04:34 
   Kakayetu  Date: 06-11-08 Time:15:10 
 
My Guestbook

Name Entry
mikingamo
Created On: 12/12/2008 17:21:10

wapita njia gani weye?unanipita tu....

sifa
Created On: 01/12/2008 11:10:35

MTOTO WA MWENZIO NI WAKO SO MLINDE NA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI

GAUCHO
Created On: 19/11/2008 15:26:13

wajameni jamani upo wapi wajameni wewe mimi nakusubiri hapa mabugando.

8figure
Created On: 30/10/2008 12:27:43

we binti mbn umeadimika? upo kitaa kipi siku hizi?

penina emmy Created On: 29/10/2008 23:22:40

Nisipitwe mbona unatitwa kwangu jamani?

debra
Created On: 28/10/2008 11:03:17

[color=#008000]Ukwapi wewe unapitwa???

woozgan
Created On: 27/10/2008 20:42:01

Habari za muda mrefu ndugu?

mikingamo
Created On: 20/10/2008 12:18:02

wapi?sikuoni?wapita njia gani sasa?

diamond
Created On: 20/10/2008 04:35:23

V.I.P

mikingamo
Created On: 16/10/2008 14:58:51

bado wanipita mno

moody x
Created On: 12/10/2008 00:02:13

mama wa miperani upoooooooooooooooooooooo haya siku hizi tumeamia kwenye mizambarau juuuuuuu kileleni unapandishwa kwahiyo ukija uje umejiandaa kabisaaaaa

mikingamo
Created On: 19/09/2008 16:45:56

unanipita sana wangu,wapi siku hizi?


chimney
Created On: 19/09/2008 16:43:27

mambo dear

mtonikitambo
Created On: 19/09/2008 03:18:59

funga upate nguo ya sikukuu, mchezo wa kwenda kula vichani sio mzuri
hi

GUCCI
Created On: 18/09/2008 22:54:00

HII HOW R U ? RAMADAN KAREEM THANX FOR PASSING BY

<< Start < Prev [1] 2 3 4 5 6 7 8 9 10 Next > End >>

My friends
OFFLINE issaq
 
<< Start < Prev 1 [2] Next > End >>
Bilicanas Kufunguliwa Rasmi Leo
Ladies and Gentlemen hayawi hayawi sasa yamekuwa!! Its now official club kongwe na maarufu nchini Tanzania Club Bilicanas leo itafungua milango wazi kuwakaribisha wapenda starehe jijini Dar-es-Salaam na Tanzania kwa ujumla
Read more...
Mwana Fa Huyoo UK....tena
Msanii maarufu wa muziki wa kufoka foka Hamisi mwinyijuma ambaye anajulikana zaidi kama Mwanan FA yuko mbioni kuelekea nchini uingereza.
Read more...
Chupa Za Maji Zahujumiwa
Hii ni pengine breaking newz kwa wale wote wanaopenda kununua maji njiani yaani yanayosambazwa na kuuzwa na wachuuzi wa maji katika barabara na mitaa ya jiji la Dar-es-Salaam
Read more...
Sasa zamu ya Mramba, Yona
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, jana ilipanda joto baada ya mawaziri wa zamani wawili Bw. Basil Mramba na Bw. Daniel Yona, kufikishwa hapo, wakituhumiwa kutumia vibaya madaraka yao wakiwa mawaziri
Read more...
Gray Mgonja Naye Kortini

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Uchumi, ambaye yuko katika likizo ya kustaafu, Grey Mgonja, jana alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam akikabiliwa na mashitaka manane.


Serikali Yala Sahani Moja Na Richmond

Serikali imefungua uwanja mpya wa mapambano dhidi ya wabunge baada ya kutangaza wazi kwamba ina mpango wa kununua mitambo ya kufua umeme ya kampuni ya Dowans, uamuzi ambao unapingwa vikali na wawakilishi hao wa wananchi.


Pinda Acharukia Semina Mashangingi

Hatimaye, Serikali imesikia kilio cha muda mrefu cha walipa kodi juu ya matumizi makubwa yasiyo ya lazima serikalini katika ununuzi wa magari ya kifahari maarufu kwa jina la mashangingi na sasa ununuzi wake utapunguzwa kwa kiwango kikubwa.


URA Yaiadhibu Mtibwa Tusker

TIMU ya Mtibwa Sugar imeanza vibaya michuano ya Kombe la Tusker kwa kukubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Mamlaka ya Mapato Uganda (URA).


Stars Yapokelewa Kishujaa Dar

Maelfu ya mashabiki wa soka wa jijini Dar es Salaam jana walijitokeza katika mitaa mbalimbali ili kuilaki timu ya taifa, Taifa Stars iliyorejea nchini kutoka Sudan baada ya kufanikiwa kukata tiketi ya kushiriki fainali za kwanza za Kombe la Mataifa ya Afrika (CHAN).


Latest Members Photos
Upload Photos to your Personal Album
 

Highslide JS
Frazzy
2009-01-06

Highslide JS
mteka
2009-01-06

Highslide JS
dude222
2009-01-06

Highslide JS
rajeymasterplan
2009-01-05

Upcoming Events
Miss East Africa - 07 February...
Hamburg - 07.02.2009 | 23.00
Register now to add your events!!

Your Comments
Latest Forum Entries
VIDEO:NJIA MPYA YA KUJIFUNGUA (KUZAA),&...
evarist 07-01-09 06:06
rais wa jamuhuri ya Tanzania
mdigo 02-01-09 11:16
VIDEO YA BINADAMU ALIYE NUSU MTU NUSU MMEA
evarist 28-12-08 23:30
Domain name, Website & Hosting service ...
wealthonline 28-12-08 20:55
Domain name, Website & Hosting service ...
wealthonline 28-12-08 20:32

Total Members
total 21964 registered
female 5438 female
male 16447 male
month 170 new this month
New: babybeauty
Who's Online Now
We have 59 guests online and 9 members online
shom FirstLady2B dullaG mlavitu flan flan ak47 DONIZ Shalia Tiba frando2000
Bongo5 Chat Zone 2.0
Total of members in the chatroom:
2006-2007 © Copyright Bongo5.com