| About Me :: Kuhusu Mimi: |
Ni kijana mtulivu,asiye na makuu, anayemuheshimu na Kumuabudu Mungu. Mungu ndiye kimbilio langu. |
| I'd Like to Meet - Ningependa kukutana na: |
ningependelea kukutana na kila mtu mwenye nia njema na anayependelea kuwa rafiki yangu, mwenye maadili mazuri.
Choose the life that is most useful and habit will make it the most agreable. |
| Interests - Napenda: |
Napendelea kuogelea, kucheza valleybal, napendelea kusikiliza muziki wa kila aina hasa nyimbo za kumtukuza Mungu, na nyinginezo kama R&B, country, miziki ya kibongo, n.k, napenda kuangalia movie hasa commedy movies. |