Created On: 15/11/2008 05:51:40 Dakitari huyo yuwaja ajakitia dawa kidonda...hehe..
Buzi langu limo ndani nakamba yake shingoni
nalifunga kiguzoni..mchunaji una nini..katafuteni vingunguti buzi langu hamlipati!!!Hun ukicheza ntamtoa mtu busha mie sasa hivi!!´Hehe..si unajua mambo ya pwani tuu... tc