Created On: 26/05/2008 12:38:56 teh teh teh...ulijuaje chalangu,ulinisare wakati niko nduki kwa Ngarenanyuki??teh nakata boda la Ngusero....biade chalaangu...pamoJAH
Created On: 25/05/2008 21:09:14 ebwana arusha vipikule njaro kama zamani half london au kumechange? mana si mchezo kule : Feedback from RayTz: aaah poa tu njiro kama kawa,ars inazidi kuwa nzuri,karibu