DOMOZEGE
 |
Created On: 03/12/2008 13:38:19
ee bana poa m2 wangu pamoja kama mamba na maji
|
sifa
 |
Created On: 01/12/2008 11:28:37
ZUIA UKIMWI TIMIZA AHADI YAKO
|
DOMOZEGE
 |
Created On: 27/11/2008 11:02:12
kaka mbona kimya?
|
gracejohnny
 |
Created On: 26/11/2008 21:00:43 Edited By gracejohnny On: 26/11/2008 21:02:49
dah kweli tunapishana kinoma ukija nitembelea nakuwaga library...tehe,nameza exams next wk,kimeta nomaaa uongo?
Lipi jipya bongo?
|
8figure
 |
Created On: 19/11/2008 16:05:46
joto limezidi wangu ndio maana kesho ya chini sina!! Niaje lkn?
|
debra
 |
Created On: 19/11/2008 11:54:03
Santeeeee
|
JYYONDER
 |
Created On: 19/11/2008 11:27:35
HESHIMA YAKO MY KAKA.MIMI NIPO POA KAKA KWANI KAAFYA KANGU KAMETULIA TU.
OK BE BLESSED
|
shanii
 |
Created On: 15/11/2008 00:20:38
hi boy, Youre so quite,every thing is ok down there
|
JYYONDER
 |
Created On: 14/11/2008 15:27:40
oh my kaka kama upo fresh mzuka swahiba.yup kule sijapata kaujumbe kako kaka.
ok mimi nakuwish gud weekend my kaka.Mungu akitujalia uhai na afya njema jtatu
|
Jenna
 |
Created On: 14/11/2008 01:23:52
...thanks..I'm fine..didn't gonna lost..sometimes busy...sometimes not..comes winther here..cold..teribble
kwa heri ya kuonana..
|
JYYONDER
 |
Created On: 13/11/2008 09:10:44
Heshima yako my kaka
Vp umzima wewe manake naona sasa hiki ni kajuma kamoja na kanaenda kajuma ka kapili upo kimya ndio maana sasa nakuliza umzima wewe my kaka kwani hata ktk Baraza la GAHAWA sikupati kabisa.
Ok kama upo fresh kila la kheri my kaka
|
katei
 |
Created On: 12/11/2008 21:30:46
sema.. mimi niko poa !
|
kamila
 |
Created On: 12/11/2008 17:12:14
hahah i dont think thats the right wey 2 ask buddy ! try agein and this is wrong number hahaah
|
kamila
 |
Created On: 11/11/2008 22:11:03
hahahah do u think u can handel this .,,,,,,,,,,
|
JYYONDER
 |
Created On: 10/11/2008 14:09:45 Edited By JYYONDER On: 10/11/2008 14:19:57
kaka heshima yako?
Nimepita mara moja kuonnyesha some love ila kwa maelezo zaidi wewe nenda katika Banda gahawa utakuta ka letter kangu kanakusubiri kaka kwani katika banda la Gahawa nilihadimika kidogo c siunajuwa tena mishemishe
|