Beatha
 |
Created On: 05/09/2008 18:24:30
thanks a lot guy
you look so nice
|
spy M
 |
Created On: 05/09/2008 18:20:34
kaka vp lkn nime kumisss kinoma wangu vp ujambo lkn
|
Mwajei
 |
Created On: 04/09/2008 13:50:53
awww thank you bro...Ramadhani karim na wewe...mzima?
xoxo
|
GAUCHO
 |
Created On: 31/08/2008 18:12:34
wikiendi sio mbaya mjasiriamali wangu nashukuru imeenda vizuri na uzima wa afya sijui wewe huko,poa nilipita kuonyesha some love kwako mjasiriamali wangu,pamoko!
|
Tezzy
 |
Created On: 30/08/2008 15:38:27
hahaha thankz
am fine..victoria ia ll good.
i know, am sick of dem haters
so who will this be by the way..?
|
Jenna
 |
Created On: 29/08/2008 22:37:57
Hello..Hujambo? Habari yako? Hope you are well..drop a mail.. 
|
GAUCHO
 |
Created On: 28/08/2008 12:57:45
mjasiliamali nilipata ujumbe chini ya mlango niliporudi nilitoka kidogo,naona kwenu huko upotee ramani hadi ya kwenda unapokaa yani nyumbani kwako unaonyeshwa lol! 
|
shamsee
 |
Created On: 28/08/2008 08:24:05
poa poa baba watoto nimekusoma tena ile kinoma anyay ngoja niende kujenga taifa badae pale pale some place same time
moko love
|
GAUCHO
 |
Created On: 27/08/2008 14:37:09
mjasiriamali wangu nimeona jina lako nikajua tupo hewani wote muda huu,niaje lkn?,nadhani unanipata over!
|
8figure
 |
Created On: 26/08/2008 11:47:02
Habari ya kukaa kimya!! Nimepita tu kukusabahi wanguz mi nipo fulla !! Tk cr! Tchaooo .. ..
|
GAUCHO
 |
Created On: 22/08/2008 12:18:06
poa mjasiliamali mwenzangu,leo kweli tupo hewani wote,hapo shopping mall ndio kubwa kuliko yote barani kwetu huku inasemekana inaitwa jiji la karne(tafsiri kimombo utanipata) si unajua mm ni mnazi wa kila mchezo,sasa naona hata cc bongo kuna haja ya kubadili fani mana soka inatushinda,eg unaona wahindi wao wamejikita kriketi,na inawatoa kina bangladesh,poa kaka ntakusoma kule praiveti senta,pamoja sana kaka huku wanakusalimu sana pia,wanakuita uje uwekeze kipindi hiki tunachoelekea mashindano ya 2010 w/cup.
|
patra
 |
Created On: 22/08/2008 09:31:56
mambo vipi?asante kwa salam
|
8figure
 |
Created On: 22/08/2008 08:18:22
Nashukuru kwa kupita kunipa hi! wangu mi nipo fulla wangu sijui wewe bro wangu !! Mpe hi! presidor kinoma wanguzz nyie ndio machizzzz wangu !! Pa1
|
PETRO
 |
Created On: 22/08/2008 07:17:00
mambo niaje wewe
|
reemat1234
 |
Created On: 22/08/2008 07:14:30
hi,,, mambo vp?
|