jholiday
 |
Created On: 13/08/2008 07:11:26

|
Beminem
 |
Created On: 13/08/2008 02:31:02
Thats you??? Men..you are a male..lol
|
harun
 |
Created On: 12/08/2008 22:49:24
MH! JAMANI BALAA DUNIANI, MTATUUA WANA WA WENZENU!
|
klex
 |
Created On: 12/08/2008 13:54:55
http://www.klexmusic.blogspot.com/
|
Aggy!
 |
Created On: 12/08/2008 11:52:57
Nipoo...nimeja ka pish la mchele...vp lakini mzima?? mi bombazz ka kawa...nani nimekumic ile mbayaaa!....Lotz of luvs frm Arachugaaaaaa!
|
8figure
 |
Created On: 11/08/2008 12:31:32
Mzima wewe? Mi nipo poa kabisaaa .. .. ..
Haya nakutakia Gud day !!
|
swejacky
 |
Created On: 10/08/2008 12:32:15
thanks,nikopoa hope u too!
|
GAUCHO
 |
Created On: 09/08/2008 13:13:41
haki ya nani kaka kuna ufisadi unafanyika juu yako la sivyo kuna mkono wa mtu kama vp tuende tukashitaki kwa mzee tibaigana,hahaha poa kaka usijali nadhani ipo siku mambo yatakuwa poa wangu,acha nipite mana hata chai sijapata nimedamka asubuhiasubuhi kukutembelea leo,pamoko wangu Jah bless u!
|
GAUCHO
 |
Created On: 08/08/2008 16:26:45
sema kakaangu,napita mkuu kukusabahi,vp naona bado mzozo kuingia chat kwako,ila pamoja hata kutembeleana sio mbaya,furahia wikiend yako,pamoko!
|
Nisipitwe
 |
Created On: 07/08/2008 07:27:16
Hi
napita salimia
|
213RIZ
 |
Created On: 05/08/2008 15:53:24
Mkuu mambo ni poa tunashukuru!si unajua mambo yanchanganya nilikuwa speed kamanda ila tuko pamoja!Thanks!
|
GAUCHO
 |
Created On: 05/08/2008 14:00:23
nashukuru sana my kaka,pole lkn hata mm ni kama ww tu 7bu naonekana kwa nadra sehemu ambayo nachat ni mbali na nyumbani hivyo sio mbaya bado tupo pamoko ndugu yangu nashukuru sana kwa kunitembelea amani iwe kwako mkuu,pamoJah!
|
8figure
 |
Created On: 05/08/2008 10:56:24
Sawa wangu hakuna noma mi mzima sana nafurahi kusikia na ww mzima .. ..
|
shamsee
 |
Created On: 05/08/2008 10:05:19
napita tu baba watoto 
|
sifa
 |
Created On: 04/08/2008 20:58:45
jirani nimekuja kukucheck. upo?
|