8figure
 |
Created On: 22/08/2008 08:18:22
Nashukuru kwa kupita kunipa hi! wangu mi nipo fulla wangu sijui wewe bro wangu !! Mpe hi! presidor kinoma wanguzz nyie ndio machizzzz wangu !! Pa1
|
PETRO
 |
Created On: 22/08/2008 07:17:00
mambo niaje wewe
|
reemat1234
 |
Created On: 22/08/2008 07:14:30
hi,,, mambo vp?
|
GAUCHO
 |
Created On: 20/08/2008 13:01:01
hahaha mjasiliamali wangu,unanichekesha eti unajua nini kinaniweka bize hahaha pamoja kaka,siku njema!
|
GAUCHO
 |
Created On: 19/08/2008 13:04:13
sema mjasiliamali wangu/mwenzangu,nimeona ngoja nipite niwajulie hali hawa wa malau walima mpira,nahopu upo mzima lkn,Mungu akubariki sana,nakuombea mazuri 7bu wewe ni mtz mwenzangu pamoko!
|
my rachel
 |
Created On: 19/08/2008 12:19:45
me mzima kabisa hivi ndo kabisa kuingia umegoma?lol tumekumiss sana..
|
| kisingo |
Created On: 16/08/2008 16:21:28
hey vipi
|
GAUCHO
 |
Created On: 15/08/2008 16:25:03
hahaha kaka umenifurahisha sana hata jero unaongea kwa uwezo wako,poa ndio mtandao ulionea dunia nzima huo,kumbe ile ishu bado unakumbuka,yah nayo inanifanya niwe adimu nayo,ila usihofu ntakutaarifu na kukualika tu si unajua mambo ya vodago popote uendako,ila poa nashukuru sana ujio wako,sema nakukosa sana wangu chat online,lkn hata salamu inatosha nafurahi wangu,karibu sana siku nyingine unajisevia tu duka letu hilo usihofu gharama wala kuweka hasara kaka,pamoko sana!
|
| crishna |
Created On: 15/08/2008 15:42:54
duh!ndugu upo?yaani nimekumiss sana wangu!mbona room hukatizi jamani?
|
8figure
 |
Created On: 15/08/2008 10:55:10
Sawa bro !! Mi mzima kaka wewe je? Watajiju na roho zao nyepesi!! Tk cr !! Tchaoo .. .
|
Beminem
 |
Created On: 15/08/2008 02:11:12
Yeah thats what am talking abt..lol..that you..you feel me.
How yo living nway?
|
debra
 |
Created On: 14/08/2008 11:27:08
Hivi ndugu upo???
Kila nikipita sikuoni??
Umefichwa wapi??
|
meka
 |
Created On: 14/08/2008 08:36:14
hiiiiiiii,
yaani mambo mengi ndio maana kimya kingi wangu, nafikiri wazima wote huko.
haya wasalimie kule kwetu waambie mi mzima sana tu.
siku njema.
|
8figure
 |
Created On: 13/08/2008 08:15:44
Bro una utani?? Vp hali yako?? mzima weye?
|
jholiday
 |
Created On: 13/08/2008 07:40:43
hey papirto u gonna kill my self oooppsss!!!!!!ur so beautiful!!i like uuuuuuuu!kisskiss!
|